Record za kocha Nabi kimataifa zinatia mashaka

Kwenye mechi za ndani sina wasiwasi sana na Yanga kuchukua ubingwa coz mbinu za ubingwa wa ligi yenu Zina janja janja nyingi lakini nitamke tu wazi mechi za kimataifa hafiki popote. Round ya kwanza kidogo yawezekana akavuka lakini round ya pili hatoki
 
Kocha alikua Joseph Omog. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kwan tupumzishe, Yeye alikua mkurugenzi wa ufundi. Lol
Usimsikilize huyo kichaa kocha AS LEOPARDS alikuwa NABI. Na huo msimu alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kocha bora wa Mwaka.
 
Katika makocha waliopita bado sijaona wa kumfikia Nabi, kwa muda mfupi tu ameonyesha ni bonge la kocha.
 
MASHABIKI YA UTOPOLO KUTWA NZIMA KUISHAMBULIA SIMBA NA WAKATI HAYANA RECORD YEYOTE NZURI KIMATAIFA.YANGA NJE YA TANZANIA NI JOKA LA KIBISA SIJAPATA KUONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…