Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela si ziliisha baada ya kumsajili Aziz Ki au zimerudi tena!Huku ndani ni kuhonga tu
Ila nawaona Yanga msimu huu wanapita round ya kwanza kwenda second roundZa yanga kiujumla ila nabi za kwake ni tano kutoka chini hajashinda hata mechi moja international
Ila nawaona Yanga msimu huu wanapita round ya kwanza kwenda second round
Ila nawaona Yanga msimu huu wanapita round ya kwanza kwenda second round
Kocha alikua Joseph Omog. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AC LEOPARD YA DRC 2012
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umuambie wee,Joseph omog ndo alikuwa head coach
Mzee acha kujitoa ufahamu basi.... hii ilikuwa 2012 kwenye tuzoJoseph omog ndo alikuwa head coach
Usimsikilize huyo kichaa kocha AS LEOPARDS alikuwa NABI. Na huo msimu alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kocha bora wa Mwaka.Kocha alikua Joseph Omog. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kwan tupumzishe, Yeye alikua mkurugenzi wa ufundi. Lol
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Katika makocha waliopita bado sijaona wa kumfikia Nabi, kwa muda mfupi tu ameonyesha ni bonge la kocha.
Umeokoteza wapi?? Mmmmh hapana.Usimsikilize huyo kichaa kocha AS LEOPARDS alikuwa NABI. Na huo msimu alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kocha bora wa Mwaka.View attachment 2317785
nani awaombee hawa wamatopeni!Aisee..
Tuwaombee!
Ingia BBC Sport 2012 wakati wa tuzo. Hiyo AS LEOPARDS NI YA CONGO BRAZAVILLE SIO DRC.Umeokoteza wapi?? Mmmmh hapana.
Mmmmh.Ingia BBC Sport 2012 wakati wa tuzo. Hiyo AS LEOPARDS NI YA CONGO BRAZAVILLE SIO DRC.
MWAKA 2013 WAKACHUKUA SUPER CUP.
Habari za weekend wakuu,
Mashabiki wa yanga poleni sana ndo mpira na wale wa simba msishangilie sana maana kesho lolote linaweza kutokea pale taifa mungu atupe afya njema tufike tushuhudie siku hyo adhimu kutoka kwa wana lunyasi.
Ikiwa imepita siku moja toka vijana kutoka kwa Idi Amini waitie doa siku ya mwananchi ila Kocha mkuu wa yanga a.k.a professor takwimu zake zinatia mashaka sana akiwa na team ya yanga kwani amecheza michezo mitano ya kimataifa akiwa kocha mkuu wa yanga hajashinda hata mechi moja zaidi ya kuambulia droo na vipigo.
Mara ya mwisho yanga kushinda mechi ya kimataifa hata ya kirafiki ni mwaka 2009 toka hapo ni mateso tu kwa wananchi angalia records za yanga hapa chini:–
[emoji1241] 1-3 Township rollers [emoji1052]
Township rollers [emoji1052] 1-1 Yanga [emoji1241]
ZESCO [emoji1268] 2-0 Yanga [emoji1241]
Yanga [emoji1241] 2-2 ZESCO [emoji1268]
Yanga [emoji1241] 1-2 Pyramids FC [emoji1093]
Pyramids FC [emoji1093] 3-0 Yanga [emoji1241]
Yanga [emoji1241] 0-1 Rivers United [emoji1184]
Rivers United [emoji1184] 1-0 Yanga [emoji1241]
Yanga [emoji1241] 1-2 Zanaco [emoji1268]
Yanga [emoji1241] 1-1 Atlabara [emoji1223]
Yanga [emoji1241] 0-2 Express [emoji1254]
Yanga [emoji1241] 0-0 Somalia U18 [emoji1220]
Yanga [emoji1241] 0-2 Vipers FC [emoji1254]
NB: KIMATAIFA SI KWA AJILI YA KILA MTU, WENGINE MKUBALI TU HUKU SIO UBAVU WENU NA NDOMAANA HATUCHEKI MAANA TUMEZOEA HALI YENU.
Nikuite Mbwa ili iweje? umeamua kujiita mwenyewe narudia tena msimu huu wanapita round ya awali sijui huko mbeleUniite mbwa nimekaa pale
Kuhonga na vuruguHuku ndani ni kuhonga tu