Record za kocha Nabi kimataifa zinatia mashaka

Record za kocha Nabi kimataifa zinatia mashaka

Kwenye mechi za ndani sina wasiwasi sana na Yanga kuchukua ubingwa coz mbinu za ubingwa wa ligi yenu Zina janja janja nyingi lakini nitamke tu wazi mechi za kimataifa hafiki popote. Round ya kwanza kidogo yawezekana akavuka lakini round ya pili hatoki
 
Joseph omog ndo alikuwa head coach
Mzee acha kujitoa ufahamu basi.... hii ilikuwa 2012 kwenye tuzo
Screenshot_20220808-111934_Chrome.jpg
 
Kocha alikua Joseph Omog. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kwan tupumzishe, Yeye alikua mkurugenzi wa ufundi. Lol
Usimsikilize huyo kichaa kocha AS LEOPARDS alikuwa NABI. Na huo msimu alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kocha bora wa Mwaka.
Screenshot_20220808-111934_Chrome.jpg
 
Katika makocha waliopita bado sijaona wa kumfikia Nabi, kwa muda mfupi tu ameonyesha ni bonge la kocha.
 
MASHABIKI YA UTOPOLO KUTWA NZIMA KUISHAMBULIA SIMBA NA WAKATI HAYANA RECORD YEYOTE NZURI KIMATAIFA.YANGA NJE YA TANZANIA NI JOKA LA KIBISA SIJAPATA KUONA
Habari za weekend wakuu,

Mashabiki wa yanga poleni sana ndo mpira na wale wa simba msishangilie sana maana kesho lolote linaweza kutokea pale taifa mungu atupe afya njema tufike tushuhudie siku hyo adhimu kutoka kwa wana lunyasi.

Ikiwa imepita siku moja toka vijana kutoka kwa Idi Amini waitie doa siku ya mwananchi ila Kocha mkuu wa yanga a.k.a professor takwimu zake zinatia mashaka sana akiwa na team ya yanga kwani amecheza michezo mitano ya kimataifa akiwa kocha mkuu wa yanga hajashinda hata mechi moja zaidi ya kuambulia droo na vipigo.

Mara ya mwisho yanga kushinda mechi ya kimataifa hata ya kirafiki ni mwaka 2009 toka hapo ni mateso tu kwa wananchi angalia records za yanga hapa chini:–



[emoji1241] 1-3 Township rollers [emoji1052]

Township rollers [emoji1052] 1-1 Yanga [emoji1241]

ZESCO [emoji1268] 2-0 Yanga [emoji1241]

Yanga [emoji1241] 2-2 ZESCO [emoji1268]

Yanga [emoji1241] 1-2 Pyramids FC [emoji1093]

Pyramids FC [emoji1093] 3-0 Yanga [emoji1241]

Yanga [emoji1241] 0-1 Rivers United [emoji1184]

Rivers United [emoji1184] 1-0 Yanga [emoji1241]

Yanga [emoji1241] 1-2 Zanaco [emoji1268]

Yanga [emoji1241] 1-1 Atlabara [emoji1223]

Yanga [emoji1241] 0-2 Express [emoji1254]

Yanga [emoji1241] 0-0 Somalia U18 [emoji1220]

Yanga [emoji1241] 0-2 Vipers FC [emoji1254]

NB: KIMATAIFA SI KWA AJILI YA KILA MTU, WENGINE MKUBALI TU HUKU SIO UBAVU WENU NA NDOMAANA HATUCHEKI MAANA TUMEZOEA HALI YENU.
 
Back
Top Bottom