OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga. Wameenda mbali na kuweka wazi kwamba Azam ilitoa report TFF lakini hakuna hatua zilizochukuliwa badala yake wachezaji hao walichukuliwa na timu iliyowanunua
My Take
Michezo hii inaendelea kwa kasi sana, Wakati GSM anadhamini timu hii haikuchukuliwa kama tahadhali?!