OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hahahaha,bado nyuzi za ushirikina,dah aisee ujinga mzigoNdugu GSM, Kuna huyu SAYVILLE naye ana malalamiko yasiyo isha. Sijui atawahi kufika!
Mpatie maji ya baridi ya GSM then mpatie maiki atoe duku duku lakeNdugu GSM, Kuna huyu SAYVILLE naye ana malalamiko yasiyo isha. Sijui atawahi kufika!
Ni kawaida ya utopolo maana ni timu inayotumika sana kusiasa piaWACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga. Wameenda mbali na kuweka wazi kwamba Azam ilitoa report TFF lakini hakuna hatua zilizochukuliwa badala yake wachezaji hao walichukuliwa na timu iliyowanunua
My Take
Michezo hii inaendelea kwa kasi sana, Wakati GSM anadhamini timu hii haikuchukuliwa kama tahadhali?!
Vipi hao crown hawana mjadala wa 5imba kuchukua wachezaji wa 5 kutoka azam wa kikosi cha kwanza na kwenda kutawala Timu ya 5imba, au mjadala huo bado?WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga. Wameenda mbali na kuweka wazi kwamba Azam ilitoa report TFF lakini hakuna hatua zilizochukuliwa badala yake wachezaji hao walichukuliwa na timu iliyowanunua
My Take
Michezo hii inaendelea kwa kasi sana, Wakati GSM anadhamini timu hii haikuchukuliwa kama tahadhali?!
Hao ndiyo wale wachambuzi wenye gubu la kunyimwa 10k aka wapiga mizinga Engeneer aliye walalamikia au🤣WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga. Wameenda mbali na kuweka wazi kwamba Azam ilitoa report TFF lakini hakuna hatua zilizochukuliwa badala yake wachezaji hao walichukuliwa na timu iliyowanunua
My Take
Michezo hii inaendelea kwa kasi sana, Wakati GSM anadhamini timu hii haikuchukuliwa kama tahadhali?!
Kupata VITUKO kama hivi andika wiper KWENDA no ""15777WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga. Wameenda mbali na kuweka wazi kwamba Azam ilitoa report TFF lakini hakuna hatua zilizochukuliwa badala yake wachezaji hao walichukuliwa na timu iliyowanunua
My Take
Michezo hii inaendelea kwa kasi sana, Wakati GSM anadhamini timu hii haikuchukuliwa kama tahadhali?!
Kuna watu mkianzisha nyuzi huwa nategemea kukuta madini lakini Sasa....!WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga. Wameenda mbali na kuweka wazi kwamba Azam ilitoa report TFF lakini hakuna hatua zilizochukuliwa badala yake wachezaji hao walichukuliwa na timu iliyowanunua
My Take
Michezo hii inaendelea kwa kasi sana, Wakati GSM anadhamini timu hii haikuchukuliwa kama tahadhali?!
NA UKIMALIZA HIYO UJE KUTUAMBIA KWA NIN SHABANI JUMA NA BANGALA WALITIMULIWA KIMYA KIMYA