Records: Sure Boy na Mudathir walisimamishwa Azam kwa sababu ya kupanga matokeo dhidi ya Yanga

Naona kaka mwa...sibu anatest mitambo namna gani tarehe 8 atawasingizia wachezaji wao.
 
Finally.

Simba msimu huu hajaruhusu goli zaidi ya mbili katika mechi zote alizocheza,ndio timu iliofungwa magoli machache sana hadi sasa. huku yanga ameruhusu magoli 3-0 .

Ukuta wa simba ni imara zaidi ya timu yoyote Africa .
 
Mi najua yanga mpaka sasa ndo timu iliofunga magoli mengi ligi kuu,na mengine mengi tutafunga tarehe 8.
 
Investigative Journalism hatuna. Mtu anakuja na tuhuma bila ushahidi chanzo chake niamini mimi Bro. What a waste form of Journalism

Haya mambo kama yangepelekwa kisheria media nyingi sana zingefungiwa na sijui wangepata wapi kwa kusemea.
 
Na hadi sasa si kafungiwa kwa issue hizo hizo ama?
 
Investigative Journalism hatuna. Mtu anakuja tu tuhuma bila ushahidi chanzo chake niamini mimi Bro..

Haya mambo kama yangepelekwa kisheria media nyingi sana zingefungiwa na sijui wangepata wapi kwa kusemea.
Upo sahihi. Ati mtu aasimama kwenye mik afu anakwambia za ndaaaaani
 
Azam hii inayofungwa na mbeya city!?
Sema crown kwa Sasa ni clown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…