Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kwahiyo unadhani mimi sijui kiswahili mkuu?Sio mbere bali mbele
Tafadhali nisahihishe kwenye kiingereza sio kiswahili.... nina maana yangu kuandika mbere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unadhani mimi sijui kiswahili mkuu?Sio mbere bali mbele
Umetoka kumbe??? Nikajua unaishi na unaujua utaratibu mzima wa mpango wa SASSA.....Acha upumbavu wako hapa nimetoka south africa juzi naongea ninachoongea.
Mtoto south africa kila mwisho wa mwezi ANAPEWA shilingi laki tatu ( 300,000) mpaka akifikisha miaka 18. Mzee kuanzia miaka 50 ANAPEWA shilingi si chini ya milion 1. Unaleta ujuaji wakati unaishi kwa shemeji yako. Tembea uone nchi zinazopaswa kujiita Tajiri sio nyie takataka. Mnasema mna madini ya kila namna na mambuga ya utalii ila watu wasio na kazi hawalipwi, wazee hawalipwi na watoto hawalipwi. Sasa hapa si jehanamu.
Serikali ndio inalipa raia wake kenge wewe. Sio Nyie unasikini umejaa Hadi matakoni mnatupigia kelele ng'ombe wewe.
Sasa Kama wanalewea wewe inakuhusu nini , Nyie ndio mnawanyima wastaafu hela zao zote za kustaafu eti watazitumia hovyo.
Mjinga kweli wewe.
tunazungumzia vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania ondoa ubishi nenda kaperuzi list ingawa Egypt ndo inaongoza kwa watalii takribani million 10Tanzania haiwezi kuwa hata top ten kwa Utalii duniani. Tanzania haijaizidi Mexico, Brazil, Egypt, China, Australia na nchi nyingine nyingi. Hapo ni vivutio tu bado kuna idadi ya kutembelewa ambapo idadi ya wanaotembelea jiji la Paris kwa ajili ya kitalii ni wengi kuliko wanaotembelea Tz.
Umesahau hili ambalo ndio kubwa, Ndio nchi pekee duniani iliokua haina ugonjwa wa Corona1.ni nchi ya pili kwa vivutio vya utalii duniani kote baada ya Brazil
2.makao makuu ya jumuiya ya Afrika mashariki
3.makao makuu ya shirika la posta duniani Arusha
Nchi ya tano bora kwa idadi ya watu Afrika ya sita south Afrika
Serengeti ni hifadhi bora Afrika
Nchi ya kwanza kwa amani Afrika mashariki
Nchi ya kwanza afAfri mashariki kwa kupambana na rushwaa
Nchi pekee Afrika inayotumia lugha yake yenyewe kiswahili
Jiji kubwa sana Afrika mashariki lipo Tanzania
Jiji la kidiplomasia Afrika lipo Tanzania
Na mengine mengi ambayo yanapatikana katika tovuti ya wikipidia ya ukurasa wa Tanzania
Si kweli Mimi ninayo Aman labda useme wewe huna Aman sio wananchi wakeTanzania ni:
1.Nchi ya 4 duniani kwa kukosa furaha duniani.
2.Nchi pekee duniani yenye uthubutu wa kufanya ufisadi nje ya mipaka yake(ufisadi across borders-refer to TZS billion zaidi ya 70 za EU za kupambana na COVID-19 vile zilipigwa) lakini hujitamba kuwa ni kiboko ya kupambana na ufisadi pamoja na rushwa.
3.Ni nchi pekee duniani ambayo wananchi wake hawana amani moyoni na huwa wapo wapo tu kama magoigoi.
4.Ni nchi pekee duniani kudai kuiondoa Corona kwa maombi ya siku tatu.
5.Ni nchi pekee duniani iliyoweza kugundua virusi vya Corona kwenye oil za magari,mapapai na kwenye vyuma.
6.Ni nchi pekee duniani inayoamini katika demokrasia ya wizi wa kura.
7.Ni nchi pekee duniani ambayo wananchi wake wanaamini kuwa kutetea haki zao ni kitendo cha aibu na ni kitendo cha kituko.
8.Ni nchi pekee duniani ambayo huwaita na kuwakejeli wadau wake wa maendeleo kuwa ni mabeberu.
9.Ni nchi pekee duniani ambayo huamini kuwa ni matajiri sana na wana uwezo hata wa kuwa donar country lakini wamo katika nchi kumi masikini zaidi duniani.
10.Ni nchi pekee duniani ambayo kiongozi wake mkuu huwa hapendi kuwaona wala kusikia juu ya wanawake weusi.
Umetoka kumbe??? Nikajua unaishi na unaujua utaratibu mzima wa mpango wa SASSA.....
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeover react saana hadi unaandika naishi kwa shemeji..shemeji ndiye anaeishi kwangu mkuu....vipi amani ipo moyoni mwako mkuu?
R15000 ni pesa nyingi saana kaka...huo mshahara unatafutwa kwa hali na uvumba na walio wengi. Ukirudi ulizia tena vizuri mkuu utaratibu wa SASSA ndiyo taasisi inayojihusisha na masuala haya.
Wewe ni nani hadi upinge tafiti za UN?Je, ni sahihi kajamba nani yoyote yule kupinga tafiti?Si kweli Mimi ninayo Aman labda useme wewe huna Aman sio wananchi wake
Mbona povu ndugu south wanakusanya kodi sisi TRA wakiongea hata swala la Tin kelele zinaanza hizo hela zitatoka kwenye pumb..la baba akoAcha upumbavu wako hapa nimetoka south africa juzi naongea ninachoongea.
Mtoto south africa kila mwisho wa mwezi ANAPEWA shilingi laki tatu ( 300,000) mpaka akifikisha miaka 18. Mzee kuanzia miaka 50 ANAPEWA shilingi si chini ya milion 1. Unaleta ujuaji wakati unaishi kwa shemeji yako. Tembea uone nchi zinazopaswa kujiita Tajiri sio nyie takataka. Mnasema mna madini ya kila namna na mambuga ya utalii ila watu wasio na kazi hawalipwi, wazee hawalipwi na watoto hawalipwi. Sasa hapa si jehanamu.
Serikali ndio inalipa raia wake kenge wewe. Sio Nyie unasikini umejaa Hadi matakoni mnatupigia kelele ng'ombe wewe.
Sasa Kama wanalewea wewe inakuhusu nini , Nyie ndio mnawanyima wastaafu hela zao zote za kustaafu eti watazitumia hovyo.
Mjinga kweli wewe.
Wewe ni mpumbavu sana Rand 15,000 ni sawa na Dola 970 Sasa hiyo hela Ina ukubwa gani ? Mi raia Kama wewe mna mavichwa yaliyojaa makamasi.
Yani unafunua limdomo lako kusema Dolla 900 ni mshahara unaotafutwa kwa kila namna wakati hata TANZANIA Kuna watu kibao wanalipwa huo mshahara. Kama unaona dola 900 ni hela kubwa kwa mwezi Basi wewe una kichaa.
Huna unalojua kuhusu SA taahira wewe nimekuwekea taarifa hapa kuwa SA mtoto analipwa laki 3 ya TANZANIA kila mwisho wa mwezi na ukifika umri wa uzee unalipwa Rand 15000 Hadi kufa. Sasa endelea kuonesha ujinga wako hapa.
Hayo yote mambuzi dume wanataka kuyasambaratisha1.ni nchi ya pili kwa vivutio vya utalii duniani kote baada ya Brazil
2.makao makuu ya jumuiya ya Afrika mashariki
3.makao makuu ya shirika la posta duniani Arusha
Nchi ya tano bora kwa idadi ya watu Afrika ya sita south Afrika
Serengeti ni hifadhi bora Afrika
Nchi ya kwanza kwa amani Afrika mashariki
Nchi ya kwanza afAfri mashariki kwa kupambana na rushwaa
Nchi pekee Afrika inayotumia lugha yake yenyewe kiswahili
Jiji kubwa sana Afrika mashariki lipo Tanzania
Jiji la kidiplomasia Afrika lipo Tanzania
Na mengine mengi ambayo yanapatikana katika tovuti ya wikipidia ya ukurasa wa Tanzania
Wewe peruzi ulete list kisha uoneshe Tanzania iko namba ngapitunazungumzia vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania ondoa ubishi nenda kaperuzi list ingawa Egypt ndo inaongoza kwa watalii takribani million 10
Uongo mtupu.makao makuu ya shirika la posta duniani Arusha
Acha uongo Mkuu unaijuwa Rand 15,000 au unaisikia kwenye bomba?Porojo nyingi ila watalii kwa mwaka Ni milion 1 Licha ya vivutio vyote hivyo.
Sisi ni matajiri ila watu wasiokuwa na kazi hawalipwi unemployment benefits. South Africa watoto wanalipwa Rand 3000 na wazee kuanzia miaka 50 unalipwa Rand 15,000 kila mwezi Kama posho ya kujikimu.
Sisi bongo Licha ya kujitapa matajiri wazee hawapew lolote shida tu... Vijana wasio na ajira hawapew unemployment benefits.
Kinachowezekana Ni propaganda tu
Ni sawa na Dolla 900,Acha uongo Mkuu unaijuwa Rand 15,000 au unaisikia kwenye bomba?
Wewe ni mpumbavu Sana unaleta upuuzi wa Google ngoja nikupandishie cheques za mzee wetu mmoja uone figure alizokuwa anapokea na ana miaka 62
Hahaha......Wewe ni mpumbavu Sana unaleta upuuzi wa Google ngoja nikupandishie cheques za mzee wetu mmoja uone figure alizokuwa anapokea na ana miaka 62
Jamaa haijui Rand 15 000.....namwambia waSouth Africa wengi wanalilia kulipwa huo mshahara...anadhani namdanganya.Acha uongo Mkuu unaijuwa Rand 15,000 au unaisikia kwenye bomba?