Records za Tanzania kimataifa

Sio mbere bali mbele
Kwahiyo unadhani mimi sijui kiswahili mkuu?

Tafadhali nisahihishe kwenye kiingereza sio kiswahili.... nina maana yangu kuandika mbere.
 
Umetoka kumbe??? Nikajua unaishi na unaujua utaratibu mzima wa mpango wa SASSA.....

[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeover react saana hadi unaandika naishi kwa shemeji..shemeji ndiye anaeishi kwangu mkuu....vipi amani ipo moyoni mwako mkuu?

R15000 ni pesa nyingi saana kaka...huo mshahara unatafutwa kwa hali na uvumba na walio wengi. Ukirudi ulizia tena vizuri mkuu utaratibu wa SASSA ndiyo taasisi inayojihusisha na masuala haya.
 
tunazungumzia vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania ondoa ubishi nenda kaperuzi list ingawa Egypt ndo inaongoza kwa watalii takribani million 10
 
Umesahau hili ambalo ndio kubwa, Ndio nchi pekee duniani iliokua haina ugonjwa wa Corona
 
Si kweli Mimi ninayo Aman labda useme wewe huna Aman sio wananchi wake
 

Nani kaka yako ? Siwezi kuwa na ndugu kichaa sampuli yako. Stop Calling me your fvckin Kaka go find either...


Sasa kabla ya kutoka huko si ndio nilikuwa naishi au unaelewa nini maana ya kuishi.


Wewe ni mpumbavu sana Rand 15,000 ni sawa na Dola 970 Sasa hiyo hela Ina ukubwa gani ? Mi raia Kama wewe mna mavichwa yaliyojaa makamasi.


Yani unafunua limdomo lako kusema Dolla 900 ni mshahara unaotafutwa kwa kila namna wakati hata TANZANIA Kuna watu kibao wanalipwa huo mshahara. Kama unaona dola 900 ni hela kubwa kwa mwezi Basi wewe una kichaa.


Huna unalojua kuhusu SA taahira wewe nimekuwekea taarifa hapa kuwa SA mtoto analipwa laki 3 ya TANZANIA kila mwisho wa mwezi na ukifika umri wa uzee unalipwa Rand 15000 Hadi kufa. Sasa endelea kuonesha ujinga wako hapa.
 
Mbona povu ndugu south wanakusanya kodi sisi TRA wakiongea hata swala la Tin kelele zinaanza hizo hela zitatoka kwenye pumb..la baba ako
 

Mkuu ni ngumu kumulekeza mtu kama wewe...kwa come down twende sawa...

Ukirekebishwa kubali...hakuna Mzee anayelipwa Rand 15000 wala watoto wanaolipwa Rand 3000 SA kwa mwezi kama grand ya uzee au foster child.

Kwanza niweke hili sawa...sio kila mtoto analipwa wala sio kila mzee analipwa... kwa watoto wenye disability, waaolelewa nawatu baki(foster children) na wale wa kaya maskini...

Hawa kaya maskini wazazi wanatakiwa wawe monthly wanapokea chini ya 4000..

Kwa wazee nako kuna kigezo cha kutokumiliki mali yenye thamani ya kiasi fulani. Sikumbuki kiasi halisi....nitauliza....hivyo kama ni wastaafu wenye mali za kias fulani less than a million wanautaratibu wao mwingine kabisa.

Hata huwa haziwatoshi akishapewa akaingia Bar....akirudi anarudi na mfuko wa Unga na mafuta ya kupika tupesa tumeisha... kwa wazee hizi nimeskia ila kwa watoto nina experience.

Acha nikutafutie website ya SASSA lazma watakuwa wameweka vigezo na kiasi mtu anachpata kwa mwezi.


Mshahara wa Rand 15000 ni mshahara mkubwa kwa SA mkuu.. sasa ishu ya mimi nauona mkubwa au mdogo haihusiki hapa...au sijui ukibadilisha kwa USD unakuwa mdogo au mkubwa haihusiki kabisa...nilichotaka ni kuweka facts sawa tu.

..huo mshahara wanaingiza seniors japo Juniors wapo ila wachache mkuu. Mzansi ilivyo na watu wavivu nakuambia wangeacha kazi na kujiandikisha kupata hiyo grant....

Wewe utaendelea kupokea mshahara wa Rand 6000 unamiaka 50 na wakati kuna grant ya 15000? Is it sensible to you?
 
Hayo yote mambuzi dume wanataka kuyasambaratisha
 
tunazungumzia vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania ondoa ubishi nenda kaperuzi list ingawa Egypt ndo inaongoza kwa watalii takribani million 10
Wewe peruzi ulete list kisha uoneshe Tanzania iko namba ngapi
 
Acha uongo Mkuu unaijuwa Rand 15,000 au unaisikia kwenye bomba?
 
Wewe ni mpumbavu Sana unaleta upuuzi wa Google ngoja nikupandishie cheques za mzee wetu mmoja uone figure alizokuwa anapokea na ana miaka 62
Hahaha......

Ukinithibitishia wazee wanalipwa grant narudia tena grant ya R15 000 na sio mafao nitakupa elfu 50.
 
Acha uongo Mkuu unaijuwa Rand 15,000 au unaisikia kwenye bomba?
Jamaa haijui Rand 15 000.....namwambia waSouth Africa wengi wanalilia kulipwa huo mshahara...anadhani namdanganya.

Na juzi tu serikali imetangaza 2021 minimum wage iwe R21 kwa saa ambayo kwa mahesabu ya kawaida hiyo ni 3000 kwa mwezi....

Hizi nchi hazina tofauti kubwa saana kimaisha...ni kwa vile tu tumeaminishana tu maskini ila sisi sio maskini kama tunavyofikiria.

Mfano mdogo tu....Kama unafanya kazi South Africa na unalipwa Rand 6000 ni afadhali mtu anayelipwa mshahara wa laki 7 na yupo Tanzania...huyu ataishi maisha mazuri kukuzidi kama mnaishi maisha yanayoendana.

Maisha Tanzania/East Africa sio ghali.....kwa maisha yetu tunayoishi unakuta mtu anajilimia tu heka ya maharage na anasomesha watoto.... nchi nyingi Duniani huwezi kuishi.
 
Ndiyo nchi pekee inayoshangilia wapinzani lakini siku ya mwisho wanawatema na kurudi nyumbani kwa Mama (CCM) kuhofia nchi itauzwa na mashetani (wapinzani).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…