Luther samwel
Member
- May 20, 2020
- 85
- 43
1.ni nchi ya pili kwa vivutio vya utalii duniani kote baada ya Brazil
2.makao makuu ya jumuiya ya Afrika mashariki
3.makao makuu ya shirika la posta duniani Arusha
Nchi ya tano bora kwa idadi ya watu Afrika ya sita south Afrika
Serengeti ni hifadhi bora Afrika
Nchi ya kwanza kwa amani Afrika mashariki
Nchi ya kwanza afAfri mashariki kwa kupambana na rushwaa
Nchi pekee Afrika inayotumia lugha yake yenyewe kiswahili
Jiji kubwa sana Afrika mashariki lipo Tanzania
Jiji la kidiplomasia Afrika lipo Tanzania
Na mengine mengi ambayo yanapatikana katika tovuti ya wikipidia ya ukurasa wa Tanzania