Samahani mkuu,hao waliokandwa goli Tano ni akina nani!?"Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-
Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi
Mechi walizocheza
Hawa miamba wamekutana mara 4
Al ahly kashinda mechi 2
DRaw 1
Yanga kashinda mechi 1
NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
Aahaaaaa,mkuu kumbe we ni shabiki wa Ile timu iliyokandwa 5-0 na Al Ahyl pole mkuuKama timu yako haijawahi kukandwa 5 na Simba nyoosha mkono juu [emoji109]
Hapana mkuu mi ni shabiki wa ile timu ilokandwa 5 na simba hapo lupaso [emoji23]Aahaaaaa,mkuu kumbe we ni shabiki wa Ile timu iliyokandwa 5-0 na Al Ahyl pole mkuu
Al Ahyl atawaoshea sana hiyo tarehe. 20,aahaaaaHapana mkuu mi ni shabiki wa ile timu ilokandwa 5 na simba hapo lupaso [emoji23]
Uzuri ni kwamba nyie pia mtacheza naoAl Ahyl atawaoshea sana hiyo tarehe. 20,aahaaaa
Hata simba ishawahi kandwa goli 5 na Yanga.[emoji28]Hapana mkuu mi ni shabiki wa ile timu ilokandwa 5 na simba hapo lupaso [emoji23]
Weka video
Ni yanga . Aliwahi kandwa 5 na simba .Samahani mkuu,hao waliokandwa goli Tano ni akina nani!?
Tatizo la mashabiki wa yanga na viongozi wake wanaongea kabla ya tukio lakini simba wanasubiria tukio ndio waongee yaani unadhani al ahly wanapokea bahasha."Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-
Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi
Mechi walizocheza
Hawa miamba wamekutana mara 4
Al ahly kashinda mechi 2
DRaw 1
Yanga kashinda mechi 1
NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
Aahaaaa,naoana unaukimbia mjadala,hapa tunamwongelea Al AhylNi yanga . Aliwahi kandwa 5 na simba .
sawa"Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-
Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi
Mechi walizocheza
Hawa miamba wamekutana mara 4
Al ahly kashinda mechi 2
DRaw 1
Yanga kashinda mechi 1
NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179