Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

"Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-

Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi

Mechi walizocheza

Hawa miamba wamekutana mara 4

Al ahly kashinda mechi 2

DRaw 1

Yanga kashinda mechi 1

NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
Unashadadia kukandwa Simba 5 na ahly halafu unasahau kama na wewe ulikandwa 5 na mnyama[emoji28][emoji28]
 
Kama timu yako haijawahi kukandwa 5 na Simba nyoosha mkono juu [emoji109]
Ukiacha simba ku kandwa voli kumi kstiks mechi mbili Ahly na vita Yanga pia ameshawahi kumkanda Simba goli 5 kwa sifuri.
 
Aahaaaaa,mkuu kumbe we ni shabiki wa Ile timu iliyokandwa 5-0 na Al Ahyl pole mkuu
Kwa taarifa yako,Yanga ndiyo imefungwa magoli mengi zaidi na Al Ahly kuliko Simbs
 

Attachments

  • Screenshot_20231007-141820.png
    Screenshot_20231007-141820.png
    24.2 KB · Views: 6
Weee!!!

Temea mate chini!!

Historia pekee ni ya Mwaka 1977 ambao Utopolo walipigwa 6-0 na Abdallah Kibadeni akaweka rekodi ya kufunga " hat tricks" kwenye mechi za watani wa Jadi rekodi ambayo mpaka leo miaka 46 baadae Bado haijavunjwa!!
Mtafukua makabuli yote,tarehe 20/10/2023 kipondo kipo pale pale
 
Tunacheza na Yanga??
😂😂😂
Mnacheza na ambaye mnamkuza mkidhani kuwa Yanga hamuwezi

Tumewatamguliza nyie mgambo wetu,vita ikiwashinda wanajeshi twaja

Halafu huyo Al Ahyl Kila siku anakandwa 5,4 na Mamelodi

Mtani punguza hofu,jipange

Siye Wala hatutingishi,yeye ni kipimo Bora kwetu
 
Mnacheza na ambaye mnamkuza mkidhani kuwa Yanga hamuwezi

Tumewatamguliza nyie mgambo wetu,vita ikiwashinda wanajeshi twaja

Halafu huyo Al Ahyl Kila siku anakandwa 5,4 na Mamelodi

Mtani punguza hofu,jipange

Siye Wala hatutingishi,yeye ni kipimo Bora kwetu
Ngoja zamu Yako itafika tu na utakandwa bila wasi
 
Back
Top Bottom