Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Lini Simba ilishinda Yanga kihalali?Hivi yanga wameshawahi kukubali kufungwa na Simba kihalali?
Kigoma Azam Federation final , yule Boko alimparamia Mukoko mngongoni kama mieleka, akamuumiza vibaya refa akameza filimbi Mukoko alipojibu akapewa red card Yanga wakabaki kumi uwanjani mkashinda,
Juzikati derby ya NBC premier league mchezaji wa Simba alitoa mpira Cha ajabu mkapewa kona, wakati refa anaamua ugomvi wa kusukumana mkaanzisha Kona bila filimbi ya refa mkivizia wachezaji wa Yanga wanapokea maelekezo ya refa mkafunga na kuwatoa Yanga mchezoni kwa kujua refa ni wenu mkafunga na goli la pili
Tanga ngao ya jamii Ally Salim alikuwa akiruka kabla penati za Yanga kupigwa!
Yanga Huwa ikiipiga Simba kihalali Tena magoli ya mbali hayana utata , rejea goli la Feitoto Kirumba akiwa katikati ya uwanja!!!au Zawadi Mauya dkk ya 12 bao likadumu hadi mwisho au Morisson faulo akimtungua Manula hadi kipa kumsifia mpigaji au Mayele mlisema Inonga anammudu na Mzee Onyango nusu mtu nusu Chuma mbele yao Mayele akawatungua bao mbili safi!