Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

Hivi yanga wameshawahi kukubali kufungwa na Simba kihalali?
Lini Simba ilishinda Yanga kihalali?

Kigoma Azam Federation final , yule Boko alimparamia Mukoko mngongoni kama mieleka, akamuumiza vibaya refa akameza filimbi Mukoko alipojibu akapewa red card Yanga wakabaki kumi uwanjani mkashinda,

Juzikati derby ya NBC premier league mchezaji wa Simba alitoa mpira Cha ajabu mkapewa kona, wakati refa anaamua ugomvi wa kusukumana mkaanzisha Kona bila filimbi ya refa mkivizia wachezaji wa Yanga wanapokea maelekezo ya refa mkafunga na kuwatoa Yanga mchezoni kwa kujua refa ni wenu mkafunga na goli la pili

Tanga ngao ya jamii Ally Salim alikuwa akiruka kabla penati za Yanga kupigwa!

Yanga Huwa ikiipiga Simba kihalali Tena magoli ya mbali hayana utata , rejea goli la Feitoto Kirumba akiwa katikati ya uwanja!!!au Zawadi Mauya dkk ya 12 bao likadumu hadi mwisho au Morisson faulo akimtungua Manula hadi kipa kumsifia mpigaji au Mayele mlisema Inonga anammudu na Mzee Onyango nusu mtu nusu Chuma mbele yao Mayele akawatungua bao mbili safi!
 
Yanga Huwa ikiipiga Simba kihalali Tena magoli ya mbali hayana utata , rejea goli la Feitoto Kirumba akiwa katikati ya uwanja!!!au Zawadi Msuya au Morisson faulo au Mayele bao mbili safi!
Dah soka letu lina Safari ndefu sana.
 
Dah soka letu lina Safari ndefu sana.
Yes uko sahihi , safari ni ndefu kwa kuwepo mashabiki mbumbumbu kama wewe usiechambua boli we kazi Yako ni kuruka ruka tu kushangilia ushindi za mchongo na kubebwa za Simba! Hivi uliona Leo jinsi gari la Singapore Big Stars lilivyowaka second half? Wamenyimwa goli halali walistahili ushindi dhidi ya Simba na itapendeza wakilalamika Fifa maana Mr Karai wa TFF ni kolowizard!
 
Hao Medeama Mnavyo wadharau, Mmeangalia Historia yao lakini? Hadi Kufika Hapo? Kuna Mwaka 2019 simba Ndio alikuwa Medeama
 
Yes uko sahihi , safari ni ndefu kwa kuwepo mashabiki mbumbumbu kama wewe usiechambua boli we kazi Yako ni kuruka ruka tu kushangilia ushindi za mchongo na kubebwa za Simba! Hivi uliona Leo jinsi gari la Singapore Big Stars lilivyowaka second half? Wamenyimwa goli halali walistahili ushindi dhidi ya Simba na itapendeza wakilalamika Fifa maana Mr Karai wa TFF ni kolowizard!
Tena Ile takataka refa ni kimada wake mtanga mwenzie mbwaaaa kbsa

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Lini Simba ilishinda Yanga kihalali?

Kigoma Azam Federation final , yule Boko alimparamia Mukoko mngongoni kama mieleka, akamuumiza vibaya refa akameza filimbi Mukoko alipojibu akapewa red card Yanga wakabaki kumi uwanjani mkashinda,

Juzikati derby ya NBC premier league mchezaji wa Simba alitoa mpira Cha ajabu mkapewa kona, wakati refa anaamua ugomvi wa kusukumana mkaanzisha Kona bila filimbi ya refa mkivizia wachezaji wa Yanga wanapokea maelekezo ya refa mkafunga na kuwatoa Yanga mchezoni kwa kujua refa ni wenu mkafunga na goli la pili

Tanga ngao ya jamii Ally Salim alikuwa akiruka kabla penati za Yanga kupigwa!

Yanga Huwa ikiipiga Simba kihalali Tena magoli ya mbali hayana utata , rejea goli la Feitoto Kirumba akiwa katikati ya uwanja!!!au Zawadi Mauya dkk ya 12 bao likadumu hadi mwisho au Morisson faulo akimtungua Manula hadi kipa kumsifia mpigaji au Mayele mlisema Inonga anammudu na Mzee Onyango nusu mtu nusu Chuma mbele yao Mayele akawatungua bao mbili safi!
Hao achana nao wapuuzi na machoko

Back
Top Bottom