Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

Unashadadia kukandwa Simba 5 na ahly halafu unasahau kama na wewe ulikandwa 5 na mnyama[emoji28][emoji28]
 
Kama timu yako haijawahi kukandwa 5 na Simba nyoosha mkono juu [emoji109]
Ukiacha simba ku kandwa voli kumi kstiks mechi mbili Ahly na vita Yanga pia ameshawahi kumkanda Simba goli 5 kwa sifuri.
 
Weee!!!

Temea mate chini!!

Historia pekee ni ya Mwaka 1977 ambao Utopolo walipigwa 6-0 na Abdallah Kibadeni akaweka rekodi ya kufunga " hat tricks" kwenye mechi za watani wa Jadi rekodi ambayo mpaka leo miaka 46 baadae Bado haijavunjwa!!
Mtafukua makabuli yote,tarehe 20/10/2023 kipondo kipo pale pale
 
Tunacheza na Yanga??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnacheza na ambaye mnamkuza mkidhani kuwa Yanga hamuwezi

Tumewatamguliza nyie mgambo wetu,vita ikiwashinda wanajeshi twaja

Halafu huyo Al Ahyl Kila siku anakandwa 5,4 na Mamelodi

Mtani punguza hofu,jipange

Siye Wala hatutingishi,yeye ni kipimo Bora kwetu
 
Ngoja zamu Yako itafika tu na utakandwa bila wasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…