Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Sisemi chochote bado ninayo Imani kubwa na timu yangu..ila mapema aingie Mzamiru Bwalya leo yuko off mood
 
Tulisajili magarasa hakuna jipya.
Umeongea ukweli mkuu- tatizo la Simba sio kocha- Tulisajili wachezaji wenye viwango vidogo- Sakho haonekani- Banda benchi- Duncun benchi- Kanoute kiwango hakitoshi- na ndio maana wachezaji wa zamani waliokuwa hawapati nafasi- wanaonekana angalau wana ubora- na wengi wamechoka- kifupi tusubiri mwakani tusajili tena- maana kwa timu hii- hata tukipita makundi- ni aibu
 
Toa Wawa weka Kenedy Juma,alafu li Wawa la nini tena lishachoka.
Toa Mkude weka Muzamiru.
Toa Dilunga weka Dunkan Nyoni au Kibu.
Hao wachezaji uloowataja una uhakika wapo substitution
 
Kwa mpira huu na wachezaji hawa kuchukua kombe ligi kuu labda tumsajili yesu dirisha dogo labda kupitia miujiza tunachukua kwa mara ya 5 tena
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujinga zaidi ni pale utapoona anachelewa kufanya sub, yani bado anaendelea kuwapa dhamana kwamba hawa hawa wabovu watabadilika
Ukweli mchungu Ni kwamba na wachezaji walio nje Ni wapuuzi Kama walioko ndani ya uwanja..tukubali mwaka huu sio wetu..tuko vibaya..tunabahatisha
 
Umeongea ukweli mkuu- tatizo la Simba sio kocha- Tulisajili wachezaji wenye viwango vidogo- Sakho haonekani- Banda benchi- Duncun benchi- Kanoute kiwango hakitoshi- na ndio maana wachezaji wa zamani waliokuwa hawapati nafasi- wanaonekana angalau wana ubora- na wengi wamechoka- kifupi tusubiri mwakani tusajili tena- maana kwa timu hii- hata tukipita makundi- ni aibu
Imagine Dilunga anaanza kwenye kikosi cha Simba ina maana amewashinda viwango hao waliosajiliwa.
 
Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi na mashambulizi yanazidi kuelekezwa kwenye lango la simba kama mvua
 
Back
Top Bottom