Umeongea ukweli mkuu- tatizo la Simba sio kocha- Tulisajili wachezaji wenye viwango vidogo- Sakho haonekani- Banda benchi- Duncun benchi- Kanoute kiwango hakitoshi- na ndio maana wachezaji wa zamani waliokuwa hawapati nafasi- wanaonekana angalau wana ubora- na wengi wamechoka- kifupi tusubiri mwakani tusajili tena- maana kwa timu hii- hata tukipita makundi- ni aibuTulisajili magarasa hakuna jipya.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mpira huu na wachezaji hawa kuchukua kombe ligi kuu labda tumsajili yesu dirisha dogo labda kupitia miujiza tunachukua kwa mara ya 5 tena
Hao wachezaji uloowataja una uhakika wapo substitutionToa Wawa weka Kenedy Juma,alafu li Wawa la nini tena lishachoka.
Toa Mkude weka Muzamiru.
Toa Dilunga weka Dunkan Nyoni au Kibu.
Ngoja tuone kama kocha anaona kama sisi au ana mbinu zakeHata tukifika makundi kwa pila hili tutabolewa nje ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mpira huu na wachezaji hawa kuchukua kombe ligi kuu labda tumsajili yesu dirisha dogo labda kupitia miujiza tunachukua kwa mara ya 5 tena
Ukweli mchungu Ni kwamba na wachezaji walio nje Ni wapuuzi Kama walioko ndani ya uwanja..tukubali mwaka huu sio wetu..tuko vibaya..tunabahatishaUjinga zaidi ni pale utapoona anachelewa kufanya sub, yani bado anaendelea kuwapa dhamana kwamba hawa hawa wabovu watabadilika
Wawa ni mavi....Wachambuzi wanadai kosa ni Wawa hii mara ya pili anataka kututoa kimataifa.
Imagine Dilunga anaanza kwenye kikosi cha Simba ina maana amewashinda viwango hao waliosajiliwa.Umeongea ukweli mkuu- tatizo la Simba sio kocha- Tulisajili wachezaji wenye viwango vidogo- Sakho haonekani- Banda benchi- Duncun benchi- Kanoute kiwango hakitoshi- na ndio maana wachezaji wa zamani waliokuwa hawapati nafasi- wanaonekana angalau wana ubora- na wengi wamechoka- kifupi tusubiri mwakani tusajili tena- maana kwa timu hii- hata tukipita makundi- ni aibu
huyo ndie anaigharimu timu, sijui kwann wanampanga huyo jamaaMkude anacheza fyongo