Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Hii timu imeshakuwa nanwapumbavu wengi sana.

Hamuwezi kuwa tia maji tia maji tu.

Ila naamini kuna kuhujumiana pia.

Wachezaji wanafanya ujanja mwingi sana.

Ama yaweza kuwa uongozi umewaambia hakuna bajeti ya kusafiri nje bora watolewe tu.
 
Simba inapumulia mashine hadi sasa. Kwa kasi ya hao jamaa na kuzubaa kwa simba sioni matumaini hadi sasa. imu ni kama haina plan B. Na hili ni tatizo la kitambo sana simba pamoja na kubadilisha makocha.ngoja tuone.
 
Simba ya siku hizi👇😁😁😁
1437.jpg
 
Simba kafika golini kwa red arrow kwa dakika kama 5-7 baada ya hapo mpira umechezwa kwenye box la manula

Kweli kwa style hii na hiyo tarehe 11 sijui, kwanza mpira wenyewe sitaangalia mamamake
Nilisema hivi hivi juzi kwenye mechi dhidi ya geita gold ukanishambulia na kusema kwamba Simba haini hitaji kuangalia ili ipate ushindi, sasa imekuaje mkuu [emoji28] ??
 
Back
Top Bottom