ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
First 4 back line leo imepanguliwa naweza sema bila sababu maalumu.Hivi beki simba ipo kweli, au wameuzwa
Hata Mimi sijaona mbinu yoyote ya kimadrid kwa huyu mheshimiwa. Mechi ya Leo haijulikani tumekwenda kulinda ushindi au tunatafuta magoli!!?Madrid akuwai kufundishwa na kocha kiazi kama huyu.
Lemme back to the game agaaaiiinDilungaaaaaaaa....
AfadhaliDilungaaaaaaaa....
Simba wakitolewa, inabidi wapigwe mawe.
Wawe wanazomewa muda wote.
Hatuwezi kuwa na wahuni wakitupotezea muda kutazama mpira.