Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Kulinda heshima na kutengeneza adabu kwenye makundi inabidi angalau Simba achomoe iwe draw ili wajue kwamba kuna mwamba kateleza bahati mbaya CL kaja shirikisho
 
Ila tuwe wa kweli Simba ,inapitia kipindi kigumu....kama kile Cha Ulaya na Marekani miaka ya 30 Economic Depression!
Sijui no sheetani gani kapita!
Hapa h@ta ukimleta Misquine au Chama nI bila 2
Ni muunganiko tu wa tim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…