Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Sijawahi ona shabiki wa simba kigeugeu usiye na msimamo km wewe so saa hz ndio umeelewa kanuni ya mwalimu ushasahau maneno yako kpnd wazambia wanaongoza 2? Tujifunze kuweka akiba ya maneno
Hupendi vigeugeu

Mbona nyie mmemchukua manara ambaye anadai yeye ni yanga damu licha ya kuwatukana kwa miaka 8 na kudai kua haitatokea yeye kuhamia yanga?
 
Tuache ushabiki maandazi, Simba kaponea tundu la sindano, yani mbovu sana msimu huu.
Hiyo ni mbinu ya kocha mzee we unataka ashinde na ugenini goli tatu?
 
Wale Simba waliopo maeneo ya Banana hapa kwenye bar maarufu Java,, tusogee counter nalipia crate 3 za serengeti lite.

Simba nguvu mojaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Woiii!![emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom