OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama ni rahisi waulize Utopolo waliishia wapi. Si walikiwepo kwenye hii michuano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaniii eeehhh utajua hujuhiiIla usije jifanya hauna bando au uko busy online haupo.
Labda yale ya WhatsApp [emoji28][emoji38]Hivi utopolo wanavyolia humu washawahi kufika hatua ya makundi?
Hongereni. Lkn mmefungwa timu lenu bovu.Mtaniii eeehhh utajua hujuhii
[emoji23]
Sio kiivyo mbona juzi hapo taifa iliupiga mwingi mpaka mkataka kukata rufaa kesi ya Morrison?Hakuna cha mbinu, Simba msimu huu hamna kitu.
Mkuu tar 11 so mbali nitakurejea, tuombe uzimaHongereni. Lkn mmefungwa timu lenu bovu.
Furaha niliyonayo Leo nakunywa alkasus tu na pweza wa kutosha sitaki kunywa pombeWanaishia kuyaona tuuu!!
Katika kosa Simba wamefanya ni kutokusajili kiungo mkabaji wa kusaidiana na Lwanga- matokeo yake inabidi wamtumie Mkude- ambaye hakabi vizuri- na kuwasababishia wenzie waonekane uchochoro- dilisha dogo watafute viungo wa maana- timu katikati haina uhai kabisa.beki tumeilaumu kwakua mkude amepotea..
aliigharimu simba dhidi ya kaizer kule kwao, tukapwaya hivihivi beki zinatafutana..
kaizer ilipokwenda tz, mkude akawekwa bench, simba ikaimarika kati na tukawafunga kaizer. tangu ile mechi hadi mwal anaondoka, sidhani kama mkude alipata tena namb hapo hadi alipokuja huyu
Mimi sio yanga bro tuheshimiane, ila ukweli mchungu ni kwamba Simba ya msimu huu mbovusio kiivyo mbona juzi hapo taifa iliupiga mwingi mpaka mkataka kukata rufaa kesi ya morison?
Wao ndio malengo waliyojiwekea, wakati simba ikitafakari namna ya kuchukua kombe kwenye haya mashindano, huku majirani zetu wanamlipia hadi kocha wao kiingilio ili akazisome mbinu za mhispaniaDabi haipo kwenye makundi, ni ligi kama Mbeya Kwanza
Kama sisi mashabiki tunaona hivi sidhani kama uongozi haujafika angle hii, ni maoni yangu kua kulingana na mwenendo wa timu ni wazi watakua wanajua nini cha kufanyaMimi sio yanga bro tuheshimiane, ila ukweli mchungu ni kwamba Simba ya msimu huu mbovu
Ufanyike tu usajili makini dirisha dogo, hamna namna.Kama sisi mashabiki tunaona hivi sidhani kama uongozi haujafika angle hii, ni maoni yangu kua kulingana na mwenendo wa timu ni wazi watakua wanajua nini cha kufanya
Kennedy Juma anaweza sitaKatika kosa Simba wamefanya ni kutokusajili kiungo mkabaji wa kusaidiana na Lwanga- matokeo yake inabidi wamtumie Mkude- ambaye hakabi vizuri- na kuwasababishia wenzie waonekane uchochoro- dilisha dogo watafute viungo wa maana- timu katikati haina uhai kabisa.