Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Mange anasemaga anatoa yote ,,, yani k yote[emoji39]
 
Katika kosa Simba wamefanya ni kutokusajili kiungo mkabaji wa kusaidiana na Lwanga- matokeo yake inabidi wamtumie Mkude- ambaye hakabi vizuri- na kuwasababishia wenzie waonekane uchochoro- dilisha dogo watafute viungo wa maana- timu katikati haina uhai kabisa.
 
Dabi haipo kwenye makundi, ni ligi kama Mbeya Kwanza
Wao ndio malengo waliyojiwekea, wakati simba ikitafakari namna ya kuchukua kombe kwenye haya mashindano, huku majirani zetu wanamlipia hadi kocha wao kiingilio ili akazisome mbinu za mhispania
 
Kennedy Juma anaweza sita
Nyoni anaweza Sita

Kama hayupo Lwanga, lakini Mkude hapana namba 6
 
Naomba kuuliza, kwa matokeo haya tumeweza kuzirudisha nafasi zetu nne? Maana awa wenzetu tusipo wapigania hizi nafasi hawatakaa washiriki mechi za kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…