[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa macho tu inaonekana jinsi Wawa alivyopwaya sijui kwanini kocha asifanye sub akaingia Kenedy au Onyango.
Ndo mashaka yangu kwa huyo kocha kafundisha Madrid ipi ya Buza au Tandale kwa tumbo?
Dah halafu kweli aisee. Yasije yakajirudia ya GalaxyKama Galaxy walifunga goli tatu ndani ya dk 45 sioni sababu hawa jamaa kushindwa kupata goli 2
Dalili nazionaDah halafu kweli aisee. Yasije yakajirudia ya Galaxy
Kuna wachezaji simba sc inabidi wawe wa mapinduzi Cup moja wapo wawa bocco na nyoni. Ila wawa kazidi amachomesha saana na mwalimu asije fanya kosa akamuingiza nyoni itakua habari yetu imeisha. Atoe wawa atuletee onyango, na kapombe angalau ila wawa anakaba kwa macho always kosa yale yale. Hadui anapiga shuti kwenda golini kwetu bila bugdha yoyote wanafaa kumsindikizakwa macho.Simba Sc, wakiwa na faida ya magoli matatu waliyoyapata mechi ya kwanza, leo wataingia uwanja wa taifa Lusaka kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Red Arrows kuwania kuingia hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika. Je, mnyama ataweza kulinda ushindi wake na kutinga hatua ya makundi?
Tuwe hapa kuanzia Saa 10 Jioni
Ujinga zaidi ni pale utapoona anachelewa kufanya sub, yani bado anaendelea kuwapa dhamana kwamba hawa hawa wabovu watabadilikaToa Wawa weka Kenedy Juma,alafu li Wawa la nini tena lishachoka.
Toa Mkude weka Muzamiru.
Toa Dilunga weka Dunkan Nyoni au Kibu.
"Unasusa Susa.." in Manara Voice.(Jokes)Simba kafika golini kwa red arrow kwa dakika kama 5-7 baada ya hapo mpira umechezwa kwenye box la manula
Kweli kwa style hii na hiyo tarehe 11 sijui, kwanza mpira wenyewe sitaangalia mamamake
Ukweli mchungu. Simba wakiendelea kucheza hovyo hivi.... jamaa wanaweza kurudisha magoli yaliyosalia.Kama Galaxy walifunga goli tatu ndani ya dk 45 sioni sababu hawa jamaa kushindwa kupata goli 2
Kibu huyu wa papara?Toa Wawa weka Kenedy Juma,alafu li Wawa la nini tena lishachoka.
Toa Mkude weka Muzamiru.
Toa Dilunga weka Dunkan Nyoni au Kibu.
Hata tukifika makundi kwa pila hili tutabolewa nje ndani.Ujinga zaidi ni pale utapoona anachelewa kufanya sub, yani bado anaendelea kuwapa dhamana kwamba hawa hawa wabovu watabadilika