Ni ushauri tu kwa mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Gondwe, maana vitu vingine ni bora tujifunze kuchukua tahadhari mapema isije kutokea majuto tena tukawapoteza.
Ni wazi mambo yanakwenda kuwa kinyume kabisa na vile hawa ndugu zetu wanavyofikiria na kujipa moyo.
Ni wana Yanga sio Simba,kombe la mapinduzi juzi tu hapa Simba alipoteza mechi na mambo yakawa shwari kabisa,shida ipo kwa Yanga huwa ni wepesi wa kulia na kuzimia.