Red Cross waje kwa wingi Simba wengi watapoteza fahamu leo kwa Mkapa

Red Cross waje kwa wingi Simba wengi watapoteza fahamu leo kwa Mkapa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni ushauri tu kwa mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Gondwe, maana vitu vingine ni bora tujifunze kuchukua tahadhari mapema isije kutokea majuto tena tukawapoteza.

Ni wazi mambo yanakwenda kuwa kinyume kabisa na vile hawa ndugu zetu wanavyofikiria na kujipa moyo.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bwana utopolo amka kumekucha, bado unaota tu?
 
Ni wana Yanga sio Simba,kombe la mapinduzi juzi tu hapa Simba alipoteza mechi na mambo yakawa shwari kabisa,shida ipo kwa Yanga huwa ni wepesi wa kulia na kuzimia.
 
Back
Top Bottom