Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Afadhali umetutetea wanaume katika hili.Si kwa wanaume tu, uchafu upo kwa 'kada' zote.
Nikikutana na mtu kwa ajili ya kufanya mapenzi, awe ni mtu mzima halafu ni mchafu, nitasitisha zoezi hilo na kuondoka bila kujali gharama nilizopoteza.
Kwanini asijiandae kwenye tukio hilo, siwezi kufanya mahusiano na mtu mchafu chafu asiyejitambua.