Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Hata mimi naupenda sana wimbo huu. Ni kweli kabisa unapopata bahati ya kuwa na binti ambaye kila njemba anapenda kuwa ubavuni mwake basi unajisikia raha sana.
Sio ndo mnakua hamjiamini????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi naupenda sana wimbo huu. Ni kweli kabisa unapopata bahati ya kuwa na binti ambaye kila njemba anapenda kuwa ubavuni mwake basi unajisikia raha sana.
Heheheh....Mbu nyekundu ina mengi....njano zaidi ya kutaka macho yote yakugeukie sidhani kama inavutia kiviiiile!!!Tho nna katop kanguka njano na kanapendeza.....kwa undies tutaishia kuumizana macho tu!!!
...wallahi tena, binafsi Lingerie nyekundu, kama ilivyo nyeusi ni turn-off! ...labda kwakuwa for years nilizoeshwa
mwenza alipokuwa 'astronaut' ndio rangi alizokuwa anazitumia. Kinyume na hapo ni light colors.
Anyway, inabidi nijigeuze kinyonga, kuachana na hizi "excess baggages ( 'memoirs' )" kwenye new relationship.
Mhhhh! Kutojiamini kivipi tena?
Wale wanaoogopaga kuwa na wadada wazuri hua hawajiamini kivipi?
ladies and Gentleman
leo nimeamua kuuliza kuhusu hii rangi..
kwanini au nini kinawafanya (wanaume)wapende red
utakuta mtu unaenda shopping na partner wako yeye
anakuchangulia nguo nyekundu especially kama ni Lingerie
inamaana hamjui rangi nyingine au?? vipi kuhusu yellow, purple, pink, blue etc
Hao wana matatizo yao, siyo Wanaume wote wanaogopa kuwa na wadada walioumbika au kwa maneno mengine Mungu aliwapendelea katika kuwaumba.
This is among presidents I admire most Asha D. Acha tu sitaki kuongelea politics maana humu si mahala pake. Ila jamaa yuko juu kuliko ao wauza sura kina Obama.
daahhhh
samahani sana
wakati huu wote nilidhani wewe ni dada duuhhhh
Jina lake linatia mashaka ni kama anajifagilia na umbile Fulani hivi PongLenis (L peleka mwanzo na P kwenye L) just my observation!
Goooosh!!!
Habari ndugu zangu . . .
waoI love black laced bikinis and bra na vigauni pia! Red kwa very special occassions! I am very confident in black, as l feel good. Pink when l was a teenager girl not any more. White yes sometimes but my favourite is BLACK!
LOL...Mm mwenyewe ulinishinda lakini nikawa na observe, the maoni ya guys yalikua contradictin but interesting, kuna wengine hawajali how you look au kama una vinjiti, mara ooh sura, mara ooh machine.... kweli hawa kaka zetu wanajua wao mawazo yao..
So i know you are beautiful 'just the way you are'