Red Lingerie

Red Lingerie

Heheheh....Mbu nyekundu ina mengi....njano zaidi ya kutaka macho yote yakugeukie sidhani kama inavutia kiviiiile!!!Tho nna katop kanguka njano na kanapendeza.....kwa undies tutaishia kuumizana macho tu!!!

...wallahi tena, binafsi Lingerie nyekundu, kama ilivyo nyeusi ni turn-off! ...labda kwakuwa for years nilizoeshwa
mwenza alipokuwa 'astronaut' ndio rangi alizokuwa anazitumia. Kinyume na hapo ni light colors.

Anyway, inabidi nijigeuze kinyonga, kuachana na hizi "excess baggages ( 'memoirs' )" kwenye new relationship.
 
Great idea maana ''darling I don't like you wearing red undies because it reminds me of my ex on her red days'' doesn't sound very appealing!!!

Ya nyuma yaache kama yalivyokua.....kuna watu wakiwa mwezini hata nyeupe bado wanapiga so ni kiasi tu cha kuzoea mambo mapya ukiwa na mtu mpya!!
 
Wale wanaoogopaga kuwa na wadada wazuri hua hawajiamini kivipi?

Hao wana matatizo yao, siyo Wanaume wote wanaogopa kuwa na wadada walioumbika au kwa maneno mengine Mungu aliwapendelea katika kuwaumba.
 
ladies and Gentleman

leo nimeamua kuuliza kuhusu hii rangi..
kwanini au nini kinawafanya (wanaume)wapende red
utakuta mtu unaenda shopping na partner wako yeye
anakuchangulia nguo nyekundu especially kama ni Lingerie
inamaana hamjui rangi nyingine au?? vipi kuhusu yellow, purple, pink, blue etc

watakuwa wapenzi wa timu ya simba.
 
Hao wana matatizo yao, siyo Wanaume wote wanaogopa kuwa na wadada walioumbika au kwa maneno mengine Mungu aliwapendelea katika kuwaumba.

Ofcozz sio wote ila wapo wengi...nakumbuka kuna thread ilianzishwaga kuhusu hili na wengi sana walisema hawataki/hawawezi!!
 
This is among presidents I admire most Asha D. Acha tu sitaki kuongelea politics maana humu si mahala pake. Ila jamaa yuko juu kuliko ao wauza sura kina Obama.

Bora umenikumbusha kua si mahala pake, mana nilitaka kuwasha moto juu ya huyo mzungu mwenye ngozi nyeusi...
 
daahhhh
samahani sana
wakati huu wote nilidhani wewe ni dada duuhhhh

Jina lake linatia mashaka ni kama anajifagilia na umbile Fulani hivi PongLenis (L peleka mwanzo na P kwenye L) just my observation!
 
Jina lake linatia mashaka ni kama anajifagilia na umbile Fulani hivi PongLenis (L peleka mwanzo na P kwenye L) just my observation!

Yeye mwenyewe kakili kua watu hufikiria hivyo kua ni Long ... haya majina haya! at least avatar ya saizi iko poa...
 
I love black laced bikinis and bra na vigauni pia! Red kwa very special occassions! I am very confident in black, as l feel good. Pink when l was a teenager girl not any more. White yes sometimes but my favourite is BLACK!
 
wao
good to see someone loves black
sababu wengi wanapenda nyeupe
pia nyekundu na kuna anaependa pink
mmmhhhh

very interesting..
i guess every one has a different test...
 
Jina lake linatia mashaka ni kama anajifagilia na umbile Fulani hivi PongLenis (L peleka mwanzo na P kwenye L) just my observation!

hahahahah lol anajina ZUri sana mmhhhhh
 
LOL...Mm mwenyewe ulinishinda lakini nikawa na observe, the maoni ya guys yalikua contradictin but interesting, kuna wengine hawajali how you look au kama una vinjiti, mara ooh sura, mara ooh machine.... kweli hawa kaka zetu wanajua wao mawazo yao..

So i know you are beautiful 'just the way you are'

wana uchaguzi a hali ya juu sana
utazani hatujazaliwa khaaaaa
mmmhh labda tumeshushwa...

but i don't blame them at all
wapunguze masifa kidoncho tu ......
 
Back
Top Bottom