October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
HeehAwamu ya kwanza ilikuwa kuzoezesha vijana kazi. Awamu ya pili haichekeshi walahi. Na bado
Heeh
Ngoja tuone.
okay
Bichwa langu ni la chuma. Ungepoteana.Hilo bichwa lako ngefumua uroto huo
Bichwa langu ni la chuma. Ungepoteana.
Mkuu sijawahi kukuelewa upo upande gani. Redcross au Mchambawima?
Okay. Ngoja tuone.Tutaona! Zamu yenu! Mjipange haswa nye nye nyie
⁷
Okay. Ngoja tuone.
Mabando yetu kwanza.
Walipe waache uhuni.Mitambo imetestiwa
Walipe waache uhuni.
Sasa hivi watakuwa wamejifunza ubabe wa madaraka hausaidii.
MIMI NDO AMIRI JESHI MKUU.haya kipo wapi?na hapo ni vijana ambao hata 1000 hawafiki lakini jasho limewatoka vipi ingekuwa Kila mkoa wangeweza?