October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Nakuonya kijana! acha kutuandikia maneno yenye font kubwa na ilhali ubongoo wako ni mdogoo.Peleka upuuzi wako huko
Hakuna kinacho weza kufichwa na vilaza wa serikali ya ccm kisionekane.hata Hitler ambaye alikuwa na wanascience nguli alishindwa kuficha ,hao vilaza wasio juwa hata kudown load whatsap ndio fwafiche miili zaidi ya 20,000?,Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu. Walahi miye sijui.
Abdul tuliza shobo jiandaeni kurudi kizimkazi.Peleka upuuzi wako huko
Mpuuzi ni wewe uliyesalimisha kinyeo chako mbwa wewePeleka upuuzi wako huko
Wee ndo mpuuzi, peleka upuuZi wako kwa Samuya,jiandae kuyasikia na kuona usiyoyatarajiaPeleka upuuzi wako huko
Eti Comrade, hivi hawa vijana wanaokutukana kwa bababu tu ya haya maneno yako! Watakuwa wanakuonea, au wako sahihi!Peleka upuuzi wako huko
Freedom of speech hayo ni maoni yao nayapokea na nitayafanyia kaziEti Comrade, hivi hawa vijana wanaokutukana kwa bababu tu ya haya maneno yako! Watakuwa wanakuonea, au wako sahihi!
Wakati fulani watu wazima tunatakiwa tujiheshimu kabla ya kuheshimiwa na watu wa rika tofauti na letu.
Peleka upuuzi wako huko
Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu. Walahi miye sijui.