Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,193
- 2,066
Ignored successfullyPeleka upuuzi wako huko
Ignored successfullyPeleka upuuzi wako huko
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.
Ndio masharti ya mganga upate urahisi
Huku anakimbia marathon kuvuka bahari ataogeleaAbdul tuliza shobo jiandaeni kurudi kizimkazi.
Duu ndio nani huyo ?Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.
Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
Mna mikwara nyie ******* ,,,mnatuona kama makalio yenuSi ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.
Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu. Walahi miye sijui.
Na bado🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi najiuliza hadi leo hawa jamaa hata kujiuzuru hawataki, bado tu wameshupaza shingo zao msumeno upite?
Mpaka kielewekeNa bado
Afrika siasa ndio sekta ambayo inalipa zaidi, pia inakuwezesha kutoguswa na sheria. Sio rahisi kiongozi wa Afrika kujiuzuru. Huyo mama akijiuzuru na katiba ikifanyiwa reforms anaenda jela kwaiyo ni bora afe na tai shingoni hata kama italazimu kuivunja nchi vioande vipandeHivi najiuliza hadi leo hawa jamaa hata kujiuzuru hawataki, bado tu wameshupaza shingo zao msumeno upite?
Chai🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe utakuwa wa Mombasa. Ila ujumbe wako umefika, asanteNye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu. Walahi miye sijui.