Redcross kuvujisha video za kutisha mpaka tarehe 25

Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
Duu ndio nani huyo ?
 
Mna mikwara nyie ******* ,,,mnatuona kama makalio yenu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi najiuliza hadi leo hawa jamaa hata kujiuzuru hawataki, bado tu wameshupaza shingo zao msumeno upite?
Afrika siasa ndio sekta ambayo inalipa zaidi, pia inakuwezesha kutoguswa na sheria. Sio rahisi kiongozi wa Afrika kujiuzuru. Huyo mama akijiuzuru na katiba ikifanyiwa reforms anaenda jela kwaiyo ni bora afe na tai shingoni hata kama italazimu kuivunja nchi vioande vipande
 
Wewe utakuwa wa Mombasa. Ila ujumbe wako umefika, asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…