Redcross wafurahishwa na hutuba ya Samia. Hofu yake hakuificha

Redcross wafurahishwa na hutuba ya Samia. Hofu yake hakuificha

Huwa napenda nyuzi zako tatizo ni vile unavyoandika kwa lafudhi ambayo sio yako unaishia kufanya mtu kuelewa iwe ngumu.
Mbona mm namuelewa vzuri sana…labda tumetofautiana uwezo wa kufikiria…ila jamaa yupo clear sana…hadi vingine uwa nachukia kwann anavisema maana ni kama anawasanua
 
Hehehee! Kile kionjo kidogo tuu mtu anahaha. Mwamuona? Mayii! Redcross Leo wamefurahi kumwona Jezebel akiwa anatweta heheee! Taifa zima limeshuhudia damu za watu usoni mwake

Nye Nye Nye hiyo ni rasharasha mbona. Waongea wajikaza mishipa hehee. Kifua chakubana kama waumwa pumu. Na bado. Kaza mkanda mama. Miye Kila Siku nakueleza. Wakumbuka Siku Ile Dodoma nilikueleza nini. Bibie walambwa kisogo huku wapulizwa.

Wabisha kwani waona mbona siri haziliki. Hehee mayi. Wakuzuga hao. Redcross wamedhamiria. Afu waseme hawakutegemea ungeingia kirahisi mtegoni. Nye walahi sijui miye.

Over share sio. Hehehe. Hisia mpaka machoni hehee. Kesho kutwa wako na Three D. Wenyewe waita 3 dimensions. Wajua mwenyewe na usalama wako. Miye nakuaga. Na bado.
e6d8ab1bd281319cec6550c3e8271fb3.jpg
 
Mbona mm namuelewa vzuri sana…labda tumetofautiana uwezo wa kufikiria…ila jamaa yupo clear sana…hadi vingine uwa nachukia kwann anavisema maana ni kama anawasanua
Ok
 
keshokutwa Wako 3D .means mtu kashaingia kwenye mtego mkubwa uliondaliwa kwa hatua na viwango tofauti najaribu kuwaza kwa angle hii
 
Mbona mm namuelewa vzuri sana…labda tumetofautiana uwezo wa kufikiria…ila jamaa yupo clear sana…hadi vingine uwa nachukia kwann anavisema maana ni kama anawasanua
Anaposema kesho kutwa Kuna 3D unaelewa Nini? Na anapo maliza kwa kugusia usalama wa top in connection na hiyo 3dimensions unaelewa nini
 
Back
Top Bottom