Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Hellow jf,hivi kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea kwa kiumbe kilichopo tumboni endapo mjamzito atakuwa anakunywa redd's kipindi cha ujauzito?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hellow jf,hivi kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea kwa kiumbe kilichopo tumboni endapo mjamzito atakuwa anakunywa redd's kipindi cha ujauzito?
Nimekuelewa mkuu,ahsante sana!Madhara ni lazima kwa sababu pombe inaingia kwenye mzunguko wa damu ambayo ndio inapeleka chakula na oksijeni kwa mtoto pia; hivyo nae atakuwa analewa wakati ule ubongo wake upo kwenye process ya kukua hivyo ukuaji kuathirika; na kuna uwezekano mkubwa wa kuwa mzito darasani, kufikiri, na hata kuwa na mental retardation.
Sitisha mitungi mpaka huyo kiumbe aingie duniani akiwa vizuri la sivyo itakula kwako. Badala ya hizo Redds, kunywa maziwa kwa wingi, na 'Ribena' ili upate mtoto bora kimwili na kiakili. Kwa maelezo zaidi kaulize clinic ingawaje wahusika watakushangaa sana!!
Okay mkuu nimekuelewa,nashukuru sana kwa maelezo yako.Redd's ina alcohol...
Alcohol inaweza kupita kwenye damu ya mama na kumfikia mtoto...
Madhara yake ni huwa inaathiri ukuaji wa chembe hai za ubongo, chembe hai za uti wa mgongo na chembehai nyingine za mtoto mwilini..
Hii ni kutokana na mtoto kutokua na uwezo wa kupambana na alcohol sababu ini linakua bado halijatengemaa kwa kazi hio
Kwanini umeomba hivo?we dada ukijifungua nitaomba nimuone mtoto wako hata kwa kulipia au hata kuwa baba mlezi
umemwanzishia nyuzi nyingi sana mpaka nimetokea kumpendaKwanini umeomba hivo?
Maziwa fresh or mtindi?Madhara ni lazima kwa sababu pombe inaingia kwenye mzunguko wa damu ambayo ndio inapeleka chakula na oksijeni kwa mtoto pia; hivyo nae atakuwa analewa wakati ule ubongo wake upo kwenye process ya kukua hivyo ukuaji kuathirika; na kuna uwezekano mkubwa wa kuwa mzito darasani, kufikiri, na hata kuwa na mental retardation.
Sitisha mitungi mpaka huyo kiumbe aingie duniani akiwa vizuri la sivyo itakula kwako. Badala ya hizo Redds, kunywa maziwa kwa wingi, na 'Ribena' ili upate mtoto bora kimwili na kiakili. Kwa maelezo zaidi kaulize clinic ingawaje wahusika watakushangaa sana!!
Sawaa mkuu tuombe uzima,me jf ndo my best place ndo maana mengi yanatonitatiza nayaleta humu coz huwa napata ushauri mzuri wa kunituliza akili japo penye wengi pana mengi.umemwanzishia nyuzi nyingi sana mpaka nimetokea kumpenda
fresh.Maziwa fresh or mtindi?
Sawa mkuu nimekuelewa but nilikua natumia kipindi siko mjamzito tangu niwe mjamzito sijawahi tumia ndo maana nikauliza ili nijue kama ni sawa kutumia hata katika kipindi hiki au lah,i real care.Pombe za nini?
Ukiwa mjamzito kula vyakula vyenye virutubisho.....ukipata kiu kunywa maji au juicy ya matunda ya kutengeneza mwenyewe
Hebu wajalini hao binadamu mnaotarajia kuwaleta
Sema kakiu kamekubanaaaSawa mkuu nimekuelewa but nilikua natumia kipindi siko mjamzito tangu niwe mjamzito sijawahi tumia ndo maana nikauliza ili nijue kama ni sawa kutumia hata katika kipindi hiki au lah,i real care.
Teh teh teh tehSema kakiu kamekubanaaa
Okayfresh.
Sawapombe zote hutakiwi kunywa
Sawapombe zote hutakiwi kunywa