Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
UPUUZI MTUPU! 🙁 Kawahoji Watanzania wangapi mpaka kufikia conclusion hiyo!? Mawaziri wameteuliwa na Kikwete kama wao hawakubaliki ina maana na yeye pia kazi imemshinda maana anateua mawaziri wabovu.
Subiri aibu wataipata 2010, kwani nahisi hata kikwete akigombea na jiwe pembeni, kama hatoiba kura 50% hapati ng'o!
REDET wanasiasa na mafisadi watupu! Nawajua vigogo wawili wa REDET ambao wamepewa ulaji na mkuu wa nchi; Prof. Mukandala kapewa u VC UDSM na DR. L. Ndumbaro ambaye kateuliwa kama mshauri wa rais wa mambo ya siasa. Besides, REDET has been commissioned several times by CCM to undertake research. What do you expect. Ufisadi is everywhere. CCM out 2010 watake wasitake.
I see another George Bush in the making. What we need now in Tanzania is a Barack Obama. A man with a vision.
Well, sishangai kitu hapa kwani NDIVYO TULIVYO!..
wakuu zangu inabidi tusome taarifa hii kwa makini sana kwani binafsi naamini kabisa kama kweli utafiti huu ulifanyika wakati vigogo wanakamatwa inawezekana maelezo haya kuwa yana ukweli...
Akitoa taarifa ya utafiti huo jana kwa waandishi wa habari, mtafiti mkuu wa Redet, Dk Benadetha Killian alisema kuwa ukilinganisha takwimu za Oktoba 2006 na Oktoba 2007, asilimia ya wale wahojiwa ambao wanasema wanaridhika sana na utendaji kazi wa Rais Kikwete imepungua kutoka asilimia 69 Oktoba 2006 hadi asilimia 44 mwezi Oktoba 2007 na sasa imefikia asilimia 39.5 hadi Novemba mwaka jana...
Keep on dreaming buddy!Subiri aibu wataipata 2010, kwani nahisi hata kikwete akigombea na jiwe pembeni, kama hatoiba kura 50% hapati ng'o!
DR Lillian killiAn ...MTAFITI wa REDET Kaja na utafiti wake ..tena ..at this time ,utafiti ni wa mwaka jana november 2008...
HABARI zaidi zitapatikana magazeti ya kesho....