Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
- Thread starter
- #121
Nimepewa uwezo wa kujibu hoja zenu. maana mlipigiana simu kuja kuleta propaganda zenu lkn sasa naona nguvu zimeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ulikuwa hujui? ndio maana rais akiwa muislam tz. maaskofu watatoa matamko 100 akija kiristo wanameza hata ukifanyika ufisadi utaitwa kwa manufaa ya taifaKwa hii michango niliyoisoma hapa, nimeamini kwamba Wakristu (sitawaita kwa jina la kuchukiza) hawawapendi Waislamu, nimegundua wengi wametawaliwa na udini wa hali juu na wana roho mbaya sana... inawezekana katika mafundisho yao wanaambiwa Muislamu ni adui yao namba moja, dah hii ni hatari sana katika jamii yetu.
Do you expect ukweli au uwongo uupate JF? Otherwise waitoe hadharani hiyo barua, maana wewe na redio iman ni kama mmeamua tu kuandika. Wekeni hadharani, YOU KNOW NO DATA NO HAKI YA KUONGELEA JAMBOJuzi katika kipindi cha Mwangaza wa jamii wachambuzi wa kipindi hicho kilimtaja kwa jina Mh peter Msigwa kwamba aliandika barua kwa maaskofu wa Iringa kwa kuwashukuru kumpeleka bungeni na pia eti atahakikisha Imani ya dini yake inapewa kipaumbele kwa nguvu zote Iringa Mjini
Walisema kwamba barua hiyo wao wanayo na kudai inaweza kuleta machafuko ya kidini nchini hasa katika jimbo la iringa
MY TAKE
Kama hili ni kweli basi taifa letu siku yoyote tunaweza kuliangamiza
Kama uongo TUNANGOJEA KAULI ya Mh msigwa kwani haya ni MADAI MAZITO yalionasa kwa jamii ya kitanzania kwa sasa.
MATUSI , KEJELI KUHUS REDIO IMAAN HICHO NI KITU CHENGINE
Hoja hapa Ukweli na Uongo kuhusu BARUA YA MH PETER NSIGWA na kama Kweli tunajenga au tunabomoa taifa?
mjomba ungejipanga kwanza ndo ukaja kuchangia we kama hauoni hata kusikiliza unashindwa?Taifa hili dhulma ipo ya wazi kwa waislamu na ushahidi upo wa kutosha mfano michache ni kufelishwa waislamu kwa maksudi na Necta na kwa taarifa yako kuna siri kubwa ambaye siku tukijakuiweka wazi basi Taifa hili bila shaka halitakalika kwa uovu wa muda mrefu wa Necta walioufanyia Umma wa kislamu.HAYO MENGINE MNAYAONA WENYEWE WALA HAINA KUZUNGUMZA.MY INTAKE WAKRISTO WANABLAME WAISLAMU NA KUWAITA WACHOCHEZI KWA SABABU YA KUDAI HAKI ZAO ZILIZOCHUKULIWA MUDA MREFU WENYEWE WAKIWA KIMYA ILA KAMA USHABIKI HUU WA WAKRISTO DHIDI YA WAISLAMU WANAPODHALILISHWA UTAENDELEA ATHARI YAKE CI WAISLAMU TU BALI NA NYINYI MTAIPATA KUMBUKENI TUNAISHI PAMOJA MITAANI,WATOTO WETU WANASOMA PAMOJA MASHULENI.HAKUNA HASIRA MBAYA KAMA MTU ANAPODAI HAKI ANAWEZA FANYA LOLOTE KWAKUWA ANAONA YEYE HANA HAKI.
Mwana Mtoka Pabaya, yaani mie huwa nawatafakari hawa watu nachokaaaaaaaaaaaa, hata awe na PHD vi-element vya uswazi huwa haviishi. ni kuwaombea tu, siku moja watafunguka! TATIZO KUBWA NI SHULE NA SI KINGINE!Well kama imekuchekesha lkn Mwana Mtoka Pabaya iz veri siriaz abaut it. Picha ya maisha kwenye kiwiliwili cha mhubiri chuki wa pale mwenge kituoni ni hopeless. Utangotango, fungus za mdomo, harufu kali ya jasho, kanzu nyeupe imebadilika na kuwa njano sbb ya kufubaa na jua, na bado anajiita mwalimu. Anawafundisha nini wanaomsikiliza?
Kwenda chooni na jiwe la kutawadhia ambalo umeliokota chini (na pengine mwenzio alilitumia jana kwa kupangusia haja kubwa) ni usafi? Kuniambia huingii ibadani na viatu ni usafi ilhal mwezi ule wa kula sana jioni midomo inanuka kuliko mzoga usafi upo wapi hapo?
Mimi naamini wana mambo mengi tu ya kujadili ila wanaonekana hawajui matatizo yao wanajadili mazuri ya wenzao in a negative way. Kaa karibu na mama aliyejifukiza udi asubuhi kwenye baibui lake na sasa ni jioni keshachomwa na jua mchana kutwa (na unavyoijua nguo nyeusi na jua), sasa pata 'mikscha' ya udi, jasho na ......loh!
And to you my dear cacico, kama still unaamini hiki ni kichekesho just think of yourself as a wife of the Mwenge Preacher....meno ya njano yana ukoko karibu na fizi, videvu zig-zag vyekundu, fungus za mdomo, kikwapa kikali (you are his wife...is it still funny?!) Tehe tehe tehe....! Kweli inachekesha, hata mimi nimecheka.
Ukiwa bafuni, chizi akichukua nguo zako na kukimbia nazo, utaonekana chizi zaidi utakapotoka nduki mzee mzima kengele zinagongana kisa ati unamfukuza chizi! MWACHE CHIZI ACHIZIKE KIVYAKE.tunasubiria kauli ya msigwa; au redio imani waweke wazi hiyo barua watu waione ikiwa wanasema kweli.watu wakishathibitisha hapo sasa watasema jambo.
Waswahili husema waache wafu wazike wafu wenzao.Miaka 13 tangu mwalimu atotoke mfumo kristo unaangauka. jee ikifika miaka 20 ijayo?
mutuwache tupumuweeeeee..........mwana mtoka pabaya, yaani mie huwa nawatafakari hawa watu nachokaaaaaaaaaaaa, hata awe na phd vi-element vya uswazi huwa haviishi. Ni kuwaombea tu, siku moja watafunguka! Tatizo kubwa ni shule na si kingine!
Siyo Bongo tu....mfumo kristo ndiyo unaotawala na kuendesha dunia mzima. Utaki unaacha.Vyombo vya dola umesikia imewahi kumkamata askofu kwa vitu kama hivi? acheni propagnda. wanfalikuwa waislam wamefanya hivi ungalisikia magazeti yetu. si unajua mfumo kristo ulivyokuwa na nguvu?
Hiyo Facebook nayo ni mfumo kristo....ndiyo maana nimekuambia mfumo kristo ndiyo unaotawala dunia.waislam wengi wamekimbilia facebook na kukuacheni nyinyi humu mkipiga propaganda. Maana facebook free and fair na kwa kuwa waislam wameanza kusoma na kutoka kwenye minyonyoro. Mengi mnatesema. Mara magaidi. Mara siasa kali. Maana mliozea kuona comment za bwana asifiwe tu humu, na udumu mfumo kristo