unasema mou ni ufisadi mkubwa, kumbe asilimia 80% ya waislam wanatibiwa katika hospitali za kikristo, wanasoma shule za kikristo, ndo maana serikali inashindwa ifanyeje, kwasababu mou inasaidia sana wananchi. Hospitali na dispensary nyingi zinaendeshwa na wakristo, ni nyingi kuliko hata zile za serikali. Wake zenu mnaooa wannewanne wanajifungulia kwenye hospitali zetu, wanatibiwa kwenye hospitali zetu. Angalia bugando, angalia dispensary na shule...
Pia angalia vyuo vikuu, angalia bugando, angalia saut, tumaini, ruco, makumira etc, kuna waislam wengi sana wanafaidika, hao wanaelimika na hawafumbui mdomo kuongea ----- kama huo...wewe ambaye una akili za al shabab umejazwa matope kichwani ndo umebakia kuwaza hayo. Wenzio wanakuhubiria ujinga wanakuachia ujinga wao wanapeleka watoto wao shule za wakristo wanaelemika wanafanikiwa wewe kalaga baho unakariri tu. Wanakulisha matope wao wanakula pilau....