Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Kwa sababu inapunguza nguvu mfumo kristo? acheni hizo.
Mimi na wanafiki hatupikiki chungu kimoja.
Wewe unajiuliza leo? Hukuwahi kujiuliza maana ya mtu kumwagiwa chakula chake mwezi wa ramadhan kule Zanzibar eti kwa kuwa tu wengine wamefunga?
Mfumo Kristo = Mfumo Shule
Kama unataka kushindana na Wakristo SOMA. Mwenzenu MziziMkavu keshaanza kuvutiwa na namna Waatoliki wanavyofundisha watoto Sunday School japo ameleta na ujinga wake humo humo kupotosha mambo.
Nyie endeleeni uwacharaza watoto wenu bakora mkiwakaririsha maandishi ya kiarabu na kudhani namna hiyo mtashindana na Wakristo
Last edited by a moderator: