Redio imaan: Tunayo barua ya peter msigwa kwenda kwa maaskofu kuwadhibiti waislam wa iringa

Status
Not open for further replies.
Nimepewa uwezo wa kujibu hoja zenu. maana mlipigiana simu kuja kuleta propaganda zenu lkn sasa naona nguvu zimeisha
 
kumbe ulikuwa hujui? ndio maana rais akiwa muislam tz. maaskofu watatoa matamko 100 akija kiristo wanameza hata ukifanyika ufisadi utaitwa kwa manufaa ya taifa
 
Do you expect ukweli au uwongo uupate JF? Otherwise waitoe hadharani hiyo barua, maana wewe na redio iman ni kama mmeamua tu kuandika. Wekeni hadharani, YOU KNOW NO DATA NO HAKI YA KUONGELEA JAMBO
 
this is quite low

the good thing is, keyboarding is made simple
 


 
Hii radio haina mambo mengine ya kuongea zaid ya kulalamika kila siku
 
Mwana Mtoka Pabaya, yaani mie huwa nawatafakari hawa watu nachokaaaaaaaaaaaa, hata awe na PHD vi-element vya uswazi huwa haviishi. ni kuwaombea tu, siku moja watafunguka! TATIZO KUBWA NI SHULE NA SI KINGINE!
 
Last edited by a moderator:
tunasubiria kauli ya msigwa; au redio imani waweke wazi hiyo barua watu waione ikiwa wanasema kweli.watu wakishathibitisha hapo sasa watasema jambo.
Ukiwa bafuni, chizi akichukua nguo zako na kukimbia nazo, utaonekana chizi zaidi utakapotoka nduki mzee mzima kengele zinagongana kisa ati unamfukuza chizi! MWACHE CHIZI ACHIZIKE KIVYAKE.
 
Miaka 13 tangu mwalimu atotoke mfumo kristo unaangauka. jee ikifika miaka 20 ijayo?
Waswahili husema waache wafu wazike wafu wenzao.

ukiona mtu mzima anagombana na mfu aliyekwisha kuoza kaburini.....tia maji tia maji..........wogwash.
 
Napenda sana kuisikiliza Redio Iman lkn sasa hivi nimeiacha kabisa mana wanayoongea hapana kwa kweli Mch Msigwa walishamchukia na ndio mana ktk kipindi chao kimoja walisema watashawishi wananchi wa Iringa wamkane hasa ktk swali lake kwa Waziri Mkuu alipouliza Nchi inaendeshwa kwa mfumo gani kwanini Zanzibar wamezuiwa kula hadharan wakat wa mfungo wakat nchi ina watu wenye dini mbalimbali walipiga kejeli hapo na kutukana vibaya mno. Kiukweli tusipokuwa makini hii Radio iman haipo vizuri huwa inashadadia sana mambo mabaya. Binafsi siipendi hata kidogo kwan inahatarisha mshikamano tuliouzoea
 
Vyombo vya dola umesikia imewahi kumkamata askofu kwa vitu kama hivi? acheni propagnda. wanfalikuwa waislam wamefanya hivi ungalisikia magazeti yetu. si unajua mfumo kristo ulivyokuwa na nguvu?
Siyo Bongo tu....mfumo kristo ndiyo unaotawala na kuendesha dunia mzima. Utaki unaacha.
 
Hiyo Facebook nayo ni mfumo kristo....ndiyo maana nimekuambia mfumo kristo ndiyo unaotawala dunia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…