Nashindwa kupandisha mfano radio one ni kelele tuNa mimi nasubiri majibu hapa...
Radio ina uzuri wake, kuna wengine hawapendi TV wala INTERNET.Wewe umezamia dsm kutoka kijiji gani kwanza? Namana mwaka huu buku 2 na ishirini na 6 bado unahangaika na redio kweli! Anyway dhambi za ccm zimekuwa nyingi kiasi kwamba zimechafua anga mawimbi yanashindwa kutililika vema.
UKISHAKUWA MJINGA MJINGA USIJARIBU KUREPLY NYUZI ZA WATU.Wewe umezamia dsm kutoka kijiji gani kwanza? Namana mwaka huu buku 2 na ishirini na 6 bado unahangaika na redio kweli! Anyway dhambi za ccm zimekuwa nyingi kiasi kwamba zimechafua anga mawimbi yanashindwa kutililika vema.
Zamani HIZI radio zilikuwa zimesimama mno hata UENDE wapi dahHapa nilipo inashika kuhani Musa tu.sijui amehonga ili anga.?
Komaa nayo utakuja kushitukia dunia imemalizika.Radio ina uzuri wake, kuna wengine hawapendi TV wala INTERNET.
Ngoja TUONE wataalamu WA frequency watatupa elimu au Kuna changamoto ya vifaa LAKINI mbona Sasa radio NYINGI haziko vyema au ugawaji WA frequency unainghiliana kwanini iwe hiviSure, nying ni za short frequency kwahio mawimbi kuingiliana ni rahisi sana. Mfano Kuna muda ukisogea bagamoyo frequency ya radio one hua inashika ya radio free. Zipo nying tu.
Mazumbukuku wengi wa maarifa ndivyo walivyo, hushindwa kujizuia hasira zao na hukimbilia kupayuka na kujitapa madude ya hovyo ambayo hata hawajaulizwa, hili jambo linasikitisha sana.UKISHAKUWA MJINGA MJINGA USIJARIBU KUREPLY NYUZI ZA WATU.
MIMI BADO NASIKILIZA RADIO NA KIUCHUMI UENDA NAKUZIDI WEWE ENDELEA KULA MIKATE YA SHEMEJI YAKO HUKO MBEZI .
MACHINE MBILI TU ZA KAZI ZANGU ZINANUNUA KIWANJA NA KUJENGA NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KISASA MPAKA KUKAMILIKA. NIONE MSHAMBA
Ah wewe NAYE Kaa kando basii kwani utakufa unamwitaje mshamba mtun usiyemjua, dogo umekariri sana maisha NB HUNA unachojua kuhusu Mimi Kaa pembeni HUNA Cha kunifunzaMazumbukuku wengi wa maarifa ndivyo walivyo, hushindwa kujizuia hasira zao na hukimbilia kupayuka na kujitapa madude ya hovyo ambayo hata hawajaulizwa, hili jambo linasikitisha sana.
Ajali nyingine ni za kujitakia tuWewe umezamia dsm kutoka kijiji gani kwanza? Namana mwaka huu buku 2 na ishirini na 6 bado unahangaika na redio kweli! Anyway dhambi za ccm zimekuwa nyingi kiasi kwamba zimechafua anga mawimbi yanashindwa kutililika vema.
Katika maoni yangu hakuna sehemu nimetamka neno MSHAMBA, isipokuwa nilikuwa najaribu kuelezea uharisia wa mambo jinsi ulivyo kupitia njia ya kisanii, tatizo lako unaendeshwa na mihemko na kukalili kila mtu anayepingana na wewe anakuona mshamba, ndiyo chanzo cha kubwatuka na kupayuka hovyo kama hivi.Ah wewe NAYE Kaa kando basii kwani utakufa unamwitaje mshamba mtun usiyemjua, dogo umekariri sana maisha NB HUNA unachojua kuhusu Mimi Kaa pembeni HUNA Cha kunifunza
Dogo unataka nitumie insta nikiwa nadrive nisikilizie internet radio gani iko KWENYE internet hapa bongo wewe NDO zumbukuku WA kienyeji una chochote hapa?
Asilimia 100 kabisa.Ajali nyingine ni za kujitakia tu
unasikiliza tbc kwenye gari yako ili iweje?
huyu atakuwa wale mbogamboga!