Redio nyingi hazisikiki vizuri hapa mjini ukilinganisha na zamani

Redio nyingi hazisikiki vizuri hapa mjini ukilinganisha na zamani

Katika maoni yangu hakuna sehemu nimetamka neno MSHAMBA, isipokuwa nilikuwa najaribu kuelezea uharisia wa mambo jinsi ulivyo kupitia njia ya kisanii, tatizo lako unaendeshwa na mihemko na kukalili kila mtu anayepingana na wewe anakuona mshamba, ndiyo chanzo cha kubwatuka na kupayuka hovyo kama hivi.
Maoni au mashudu, wenye maoni wanatoa maoni huwaoni, wewe unadhani Kila aliyeko dar KATIKA kojijini, au Kila anayetumia internet anq behave kama wewe mjinga.

Unaanzaje kujitetea kumwona MTU WA ajabu anaikiloza radio 2026 wewe ni punguani wenzio wanafungua vituonvya radio ni wajinga kama wewe sio, unampangia MTU Cha kufanya una AKILI.
 
Tangu tasnia ya habari iharibiwe na wanasiasa mm moyo wa kusikliza redio niliuzika zaman sana

Kwangu ni mwendo wa old music akina less wanyika, samba mapangara,Daudi Kabaka, ottu jazz band

Hzo redio takataka kwangu n marufuku kama ni taarifa nitazipata kupitia social media bc
 
Kwani KWENYE radio ni TAARIFA za habari pekee!

Napenda radio toka MIAKA ya 90, na penda kusikiliza mziki ninapokuwa nadrive au napofanya kazi isiyonitaka nikae na simu sina tabia ya kudownload music pia Kuna vipindi vizuri TU, SEHEMU zingine hamna network ila radio inashika utastreqm vipi kama hauna tabia ya KUWEKA nyimbo KWENYE kifaa
 
Sio taarifa pekee
Make ata kama n kwa ajiri ya burudan ,utapata burudan gan zaidi ya zile nyimbo zao za matusi zisizo na adabu kwa jamii
Sometimes Zina vibe ukitoka moro MPAKA singida peke yako unafanayaje unaendesha kimya kimya nyimbo za kisave unatakiwa KUWA na nyimbo nyingi sana Bora zinazopiga live sometime maeneo MENGI hayashiki network na radio pia ila yapo yanashika radio vuema
 
Maoni au mashudu, wenye maoni wanatoa maoni huwaoni, wewe unadhani Kila aliyeko dar KATIKA kojijini, au Kila anayetumia internet anq behave kama wewe mjinga.

Unaanzaje kujitetea kumwona MTU WA ajabu anaikiloza radio 2026 wewe ni punguani wenzio wanafungua vituonvya radio ni wajinga kama wewe sio, unampangia MTU Cha kufanya una AKILI.
Amakweli akili yako imelala kama mlenda, ni wapi nimejitetea? Isipokuwa nilitumia busara kukufundisha maarifa, kama huhitaji baki na uzumbukuku wako.
 
Amakweli akili yako imelala kama mlenda, ni wapi nimejitetea? Isipokuwa nilitumia busara kukufundisha maarifa, kama huhitaji baki na uzumbukuku wako.
Lala mbele subiri mikate ya SHEMEJI YAKO upokee
 
Changamoto hii inasababishwa na nini?

Kiss FM
RFA
CLOUD FM
CAPITAL RADIO
RADIO ONE
TBC 1 N.K

Hizi ni moja ya radio zilizosikika vizuri sana iwe kwenye simu au radio yenyewe.

Radio zibgine kama wasafi fm, na chipukizi zote hazisikiki vizuri ukiwa kwenye gari au ukiwa na simu au radio kuna sauti kama ya shwaaaa ma sauti ua maongezi yanakuwa chini sana hayachuki vizuri kama radio za kenya

Eti mimi pekew naexperience hii shida au wadau wengine mnapata hii shida.

Unakuwa na route si huwezi shika simu basi unajaribu kusikiliza radio ni kazi nzito.

Au mafundi mitambo wamekuwa hadimu
Bado Kuna watu wanasikiliza radio miaka hii? Au uko kijijini nanjilinji ndani ndani huko?
 
Kwasasa kama hautumii redio yenye genge yaan ya kutune kwa kusogeza au kuscroll kidude utahangahika sana kupata redio kwa usikivu mzur

Redio nyingi sahv zinatengenezwa hazina nguvu ya kushika mawimbi ya redio
 
Back
Top Bottom