Maoni au mashudu, wenye maoni wanatoa maoni huwaoni, wewe unadhani Kila aliyeko dar KATIKA kojijini, au Kila anayetumia internet anq behave kama wewe mjinga.Katika maoni yangu hakuna sehemu nimetamka neno MSHAMBA, isipokuwa nilikuwa najaribu kuelezea uharisia wa mambo jinsi ulivyo kupitia njia ya kisanii, tatizo lako unaendeshwa na mihemko na kukalili kila mtu anayepingana na wewe anakuona mshamba, ndiyo chanzo cha kubwatuka na kupayuka hovyo kama hivi.
Kwani KWENYE radio ni TAARIFA za habari pekee!Tangu tasnia ya habari iharibiwe na wanasiasa mm moyo wa kusikliza redio niliuzika zaman sana
Kwangu ni mwendo wa old music akina less wanyika, samba mapangara,Daudi Kabaka, ottu jazz band
Hzo redio takataka kwangu n marufuku kama ni taarifa nitazipata kupitia social media bc
Sio taarifa pekeeKwani KWENYE radio ni TAARIFA za habari pekee!
Sometimes Zina vibe ukitoka moro MPAKA singida peke yako unafanayaje unaendesha kimya kimya nyimbo za kisave unatakiwa KUWA na nyimbo nyingi sana Bora zinazopiga live sometime maeneo MENGI hayashiki network na radio pia ila yapo yanashika radio vuemaSio taarifa pekee
Make ata kama n kwa ajiri ya burudan ,utapata burudan gan zaidi ya zile nyimbo zao za matusi zisizo na adabu kwa jamii
Amakweli akili yako imelala kama mlenda, ni wapi nimejitetea? Isipokuwa nilitumia busara kukufundisha maarifa, kama huhitaji baki na uzumbukuku wako.Maoni au mashudu, wenye maoni wanatoa maoni huwaoni, wewe unadhani Kila aliyeko dar KATIKA kojijini, au Kila anayetumia internet anq behave kama wewe mjinga.
Unaanzaje kujitetea kumwona MTU WA ajabu anaikiloza radio 2026 wewe ni punguani wenzio wanafungua vituonvya radio ni wajinga kama wewe sio, unampangia MTU Cha kufanya una AKILI.
Lala mbele subiri mikate ya SHEMEJI YAKO upokeeAmakweli akili yako imelala kama mlenda, ni wapi nimejitetea? Isipokuwa nilitumia busara kukufundisha maarifa, kama huhitaji baki na uzumbukuku wako.
Bado Kuna watu wanasikiliza radio miaka hii? Au uko kijijini nanjilinji ndani ndani huko?Changamoto hii inasababishwa na nini?
Kiss FM
RFA
CLOUD FM
CAPITAL RADIO
RADIO ONE
TBC 1 N.K
Hizi ni moja ya radio zilizosikika vizuri sana iwe kwenye simu au radio yenyewe.
Radio zibgine kama wasafi fm, na chipukizi zote hazisikiki vizuri ukiwa kwenye gari au ukiwa na simu au radio kuna sauti kama ya shwaaaa ma sauti ua maongezi yanakuwa chini sana hayachuki vizuri kama radio za kenya
Eti mimi pekew naexperience hii shida au wadau wengine mnapata hii shida.
Unakuwa na route si huwezi shika simu basi unajaribu kusikiliza radio ni kazi nzito.
Au mafundi mitambo wamekuwa hadimu
Neno moja tu ishi nalo ZUMBUKUKU zaidi ya hapo nitakuwa nimekuonea.Lala mbele subiri mikate ya SHEMEJI YAKO upokee