figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tanzania inahitaji ukombozi na sio Uchaguzi.Salaam,
Watawala wana yao moyoni.. Hawatosheki na wanachopata.
Wizi wa kura, kuenguliwa wagombea, Waggombea kunyimwa fomu za kuomba kuchaguliwa, wagombea kunyanyaswa na Polisi, Mauaji na Utekaji kwa Wagombea wenza wa vyama mbadala mfano CHADEMA
Matumizi ya Bunduki dhidi ya wagombea wanaokemea Ufisadi.
Je, Tanzania bado inahitaji Uchaguzi au mapinduzi matukufu?
View attachment 3700062
MY TAKE
Kuanza upya si ujinga.. Waliopo madarakani wameshindwa kutumikia wananchi, wanashibisha matumbo yao na makombo ndo wanapewa watawaliwa. Watanzania tuamke dhidi ya mifumo dhalimu ya CCM na Wala Nchi
Ungeandika kwenye footnote kule kwenye heading Wanga wengi sana watakuroga unaona sasa usharogwaNimeuliza hivi, Tanzania bado inahitaji Uchaguzi au Mapinduzi matukufu? Title inasoma vingine.. Uhuru wangu wa kutoa maoni umeingiliwa.
My friends, ladies and gentlemen,Salaam,
Watawala wana yao moyoni.. Hawatosheki na wanachopata.
Wizi wa kura, kuenguliwa wagombea, Waggombea kunyimwa fomu za kuomba kuchaguliwa, wagombea kunyanyaswa na Polisi, Mauaji na Utekaji kwa Wagombea wenza wa vyama mbadala mfano CHADEMA
Matumizi ya Bunduki dhidi ya wagombea wanaokemea Ufisadi.
Je, Tanzania bado inahitaji Uchaguzi au mapinduzi matukufu?
View attachment 3700062
MY TAKE
Kuanza upya si ujinga.. Waliopo madarakani wameshindwa kutumikia wananchi, wanashibisha matumbo yao na makombo ndo wanapewa watawaliwa. Watanzania tuamke dhidi ya mifumo dhalimu ya CCM na Wala Nchi
Hii inchi imeshadondoka tayari.Salaam,