Vipi usahihi wake kwenye uhalali wa konaRefa aliyechezesha mechi kati ya Simba na Singida alikuwa sahihi kwa asilimia mia.
Fifa ilitambulisha Sheria mpya kwenye mashindano ya world cup yaliyofanyika Qatar,Moja ya Sheria waliotambulisha ni kwamba dakika za nyongeza zitaongezwa kwa kadri muda wa mchezo ulivyosimama na pia kwenye dakika za nyongeza muamuzi atakuwa na uwezo wa kuzidisha dakika na sio kufupisha dakika.
Ndio maana kwenye mechi za kombe la Dunia na kwenye ligi za ulaya tunaona extra time Hadi dakika 100,101 ,98..Newcastle msimu huu walifungwa nje ya dakika ya nyongeza ,arsenal wameshapata matokeo baada ya extra time kuishaView attachment 2867894
Mechi nimeiacha ikiwa 3-3 saizi ninekutana na matokeo mengine kabisaKila sekunde ina thamani kwenye football nmetoka kuangalia mechi ya Real Madrid na Athletic Madrid yametokea kama ya Singida na Simba
Bas Singida anaenda final. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida haikua muda wa nyongeza kwakua muda uo unatumiwa na timu zote mbili.
Shida ilikua namna Refa alivyo toa Kona, wakati mpira umepigwa na Saidoo na kipa ameudaka mpira ukiwa umesha vuka chaki na kwenye soka Sheria Ina angalia mpira na si mwili wa mchezaji.
Mpira aliopiga Saidoo ulishavuka chaki nakuwa Gool kick na line 1 Alisha onyesha ni Gool kick.
Refa wa kati analazimisha Kona kwa mpira ambao line amesema gool kick.
Ilo ndilo lililo wafanya wachezaji wa Singida ku mzonga refa na walikua sahihi.
Ata ingekua kipa kaudaka nje kaurudisha ndani Bado inabaki ni Gool kick.
Kinacho angaliwa ni mpira na chaki zake.
Sheria ya mpira wa miguu haikatazi kudaka mpira uliotoka na ukiudaka haufanyi mpira uliotoka Uendelee kuwa mchezoni. Nisawa na mchezaji kucheza mpira ulio vuka chaki kwenda nje kuurudisha ndani Bado Sheria inatambua mpira umetoka.Kama mpira ulikua umetoka kipa alienda kuudaka wa nini?
Hata mimi nimeelewa hivyo. Hoja sio muda wa ziadaShida haikua muda wa nyongeza kwakua muda uo unatumiwa na timu zote mbili.
Shida ilikua namna Refa alivyo toa Kona, wakati mpira umepigwa na Saidoo na kipa ameudaka mpira ukiwa umesha vuka chaki na kwenye soka Sheria Ina angalia mpira na si mwili wa mchezaji.
Mpira aliopiga Saidoo ulishavuka chaki nakuwa Gool kick na line 1 Alisha onyesha ni Gool kick.
Refa wa kati analazimisha Kona kwa mpira ambao line amesema gool kick.
Ilo ndilo lililo wafanya wachezaji wa Singida ku mzonga refa na walikua sahihi.
Ata ingekua kipa kaudaka nje kaurudisha ndani Bado inabaki ni Gool kick.
Kinacho angaliwa ni mpira na chaki zake.
Sasa mbona hawakulalamikia kona?wangegomea kona sasa....utopolo mnakuwa mnasahau haraka sana,mshasahau game ya azam ya ligi mlipewa goli la ajabu mtu kaenda kuupiga krosi mpira uliokuwa nje ya uwanja tena karibu na mabango kabisa....Shida haikua muda wa nyongeza kwakua muda uo unatumiwa na timu zote mbili.
Shida ilikua namna Refa alivyo toa Kona, wakati mpira umepigwa na Saidoo na kipa ameudaka mpira ukiwa umesha vuka chaki na kwenye soka Sheria Ina angalia mpira na si mwili wa mchezaji.
Mpira aliopiga Saidoo ulishavuka chaki nakuwa Gool kick na line 1 Alisha onyesha ni Gool kick.
Refa wa kati analazimisha Kona kwa mpira ambao line amesema gool kick.
Ilo ndilo lililo wafanya wachezaji wa Singida ku mzonga refa na walikua sahihi.
Ata ingekua kipa kaudaka nje kaurudisha ndani Bado inabaki ni Gool kick.
Kinacho angaliwa ni mpira na chaki zake.
Eti mpaka mseme. Ulimbukeni wa wazi kabisa. Wewe hukuona Singida walivyo-protest ile kona?Sasa mbona hawakulalamikia kona?wangegomea kona sasa....utopolo mnakuwa mnasahau haraka sana,mshasahau game ya azam ya ligi mlipewa goli la ajabu mtu kaenda kuupiga krosi mpira uliokuwa nje ya uwanja tena karibu na mabango kabisa....
Kuna siku mlifungwa goli refa akasema kona[emoji23]na mkaenjoy kenge nyie...
YAANI MPAKA MSEMEEEEEE
Poleee kwa kutesekaaaa, na badoooEti mpaka mseme. Ulimbukeni wa wazi kabisa. Wewe hukuona Singida walivyo-protest ile kona?
Kilichomfanya golikipa ahangaike kwenda kudaka mpira uliotoka ni nini?Eti mpaka mseme. Ulimbukeni wa wazi kabisa. Wewe hukuona Singida walivyo-protest ile kona?
Refa aliyechezesha mechi kati ya Simba na Singida alikuwa sahihi kwa asilimia mia.
Fifa ilitambulisha Sheria mpya kwenye mashindano ya world cup yaliyofanyika Qatar, Moja ya Sheria waliotambulisha ni kwamba dakika za nyongeza zitaongezwa kwa kadri muda wa mchezo ulivyosimama na pia kwenye dakika za nyongeza muamuzi atakuwa na uwezo wa kuzidisha dakika na sio kufupisha dakika.
Ndio maana kwenye mechi za kombe la Dunia na kwenye ligi za Ulaya tunaona extra time Hadi dakika 100,101 ,98..Newcastle msimu huu walifungwa nje ya dakika ya nyongeza, Arsenal wameshapata matokeo baada ya extra time kuisha
View attachment 2867894
Saidoo alivyopiga ule mpira mchezaji wa singida aliugusa,ndio maana golikipa wa singida aliuwahi ila akaudakia nje! Ilikuwa ni kona sahihi kabisa.Sheria ya mpira wa miguu haikatazi kudaka mpira uliotoka na ukiudaka haufanyi mpira uliotoka Uendelee kuwa mchezoni. Nisawa na mchezaji kucheza mpira ulio vuka chaki kwenda nje kuurudisha ndani Bado Sheria inatambua mpira umetoka.
Mmesahau nyie. Kuna timu iliwahi kucheza mpira ukatokea ndani ya milingoti mitatu na refa akasema ni kona. Mmesahau kuna timu msimu uliopita iliwahi kupewa penalti kwa mchezaji wao kuchezewa faulo nje kabisa ya boksi la kumi na nane.Shida haikua muda wa nyongeza kwakua muda uo unatumiwa na timu zote mbili.