py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Refa aliyechezesha mechi kati ya Simba na Singida alikuwa sahihi kwa asilimia mia.
Fifa ilitambulisha Sheria mpya kwenye mashindano ya world cup yaliyofanyika Qatar, Moja ya Sheria waliotambulisha ni kwamba dakika za nyongeza zitaongezwa kwa kadri muda wa mchezo ulivyosimama na pia kwenye dakika za nyongeza muamuzi atakuwa na uwezo wa kuzidisha dakika na sio kufupisha dakika.
Ndio maana kwenye mechi za kombe la Dunia na kwenye ligi za Ulaya tunaona extra time Hadi dakika 100,101 ,98..Newcastle msimu huu walifungwa nje ya dakika ya nyongeza, Arsenal wameshapata matokeo baada ya extra time kuisha