Refa aliyechezesha leo alikuwa sahihi kwa mujibu wa sheria

Wakati saidoo anapiga beki wa singida alikua anataka kama kublock mpira refa akaadaika kujua umeguswa na kile kitendo cha kipa kuufuata mpira nje refa akajua mpira uliguswa kabla ya kutoka
Mshika kibendera aliamua kipi?
 
acheni kuumiza vichwa kujadili bonanza wakuu, mkoje nyie watu?
 

Siku simba akiwa aaongoza alafu zikaongezwa dakika 10 usije unalialia hapa kenge wewe.
 
Wanathimba kwa mwenendo huu hakuna sehwmu tunafika
 
Utopolo hawalitambui hilo hasa inaposhinda Simba 😂😂
 
Vipi maamuzi ya kona nayo??

Acha kurukaruka jibu swali hilo
Una hakika baada ya saido kupiga hakuna mchezaji wa Singida aliyeugusa ndo maana kipa akakimbia kuudaka akadakia nje?
 


Soma chronometer hiyo. Dakika za ziada zaidi ya NNE nje ya SITA zilizotolewa, ziliongezwa na matukio gani?
 
Refa wa jana ni mzembe kweli, kwani alikataa penalty mbili za halali ambazo simba walizistahili.
 
jana walioonewa na refa ni simba, simba wamenyimwa penati ya wazi kabisa kwa mapungufu ya refarii hata hvyo hawakulalamika wakaendelea na mchezo , singida walicheza mpira wa kiboya wa kupoteza muda, kujilaza kujiangisha... hata walipofika hatua ya penat wanashindwa wenyewe... jana hata refa alichoshwa na mpira wa kidada wa singida, hasa kujilaza laza hovyo.
 
Mbona kama watu ni wagumu kuelewa.Fact ni kwamba Simba sports club atacheza final hii haina kupingwa na kuhusu yaliyotokea kwenye mechi ya Singida jana ni makosa ya kibinadamu tuishi nayo tu na ieleweke simba yupo final sasa au anayetaka kurusha ngumi basi ajaribu tuone🤣🤣
 
alikuwa anaudaka wa nini huo mpira uliotoka nje ili hali walikuwa wanaongoza?? tumia akili acha kutumia matako yaliyowekwa mwiko katikati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…