Refa aliyechezesha leo alikuwa sahihi kwa mujibu wa sheria

Wakati saidoo anapiga beki wa singida alikua anataka kama kublock mpira refa akaadaika kujua umeguswa na kile kitendo cha kipa kuufuata mpira nje refa akajua mpira uliguswa kabla ya kutoka
Mshika kibendera aliamua kipi?
 
Vipi usahihi wake kwenye uhalali wa kona
Review hapo
20240110_225504.jpg

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Refa aliyechezesha mechi kati ya Simba na Singida alikuwa sahihi kwa asilimia mia.

Fifa ilitambulisha Sheria mpya kwenye mashindano ya world cup yaliyofanyika Qatar, Moja ya Sheria waliotambulisha ni kwamba dakika za nyongeza zitaongezwa kwa kadri muda wa mchezo ulivyosimama na pia kwenye dakika za nyongeza muamuzi atakuwa na uwezo wa kuzidisha dakika na sio kufupisha dakika.

Ndio maana kwenye mechi za kombe la Dunia na kwenye ligi za Ulaya tunaona extra time Hadi dakika 100,101 ,98..Newcastle msimu huu walifungwa nje ya dakika ya nyongeza, Arsenal wameshapata matokeo baada ya extra time kuisha

View attachment 2867894

Siku simba akiwa aaongoza alafu zikaongezwa dakika 10 usije unalialia hapa kenge wewe.
 
Wanathimba kwa mwenendo huu hakuna sehwmu tunafika
 
Refa aliyechezesha mechi kati ya Simba na Singida alikuwa sahihi kwa asilimia mia.

Fifa ilitambulisha Sheria mpya kwenye mashindano ya world cup yaliyofanyika Qatar, Moja ya Sheria waliotambulisha ni kwamba dakika za nyongeza zitaongezwa kwa kadri muda wa mchezo ulivyosimama na pia kwenye dakika za nyongeza muamuzi atakuwa na uwezo wa kuzidisha dakika na sio kufupisha dakika.

Ndio maana kwenye mechi za kombe la Dunia na kwenye ligi za Ulaya tunaona extra time Hadi dakika 100,101 ,98..Newcastle msimu huu walifungwa nje ya dakika ya nyongeza, Arsenal wameshapata matokeo baada ya extra time kuisha

View attachment 2867894
Utopolo hawalitambui hilo hasa inaposhinda Simba 😂😂
 
Screenshot_20240111-113723.jpg

Soma chronometer hiyo. Dakika za ziada zaidi ya NNE nje ya SITA zilizotolewa, ziliongezwa na matukio gani?
 
Shida haikua muda wa nyongeza kwakua muda uo unatumiwa na timu zote mbili.
Shida ilikua namna Refa alivyo toa Kona, wakati mpira umepigwa na Saidoo na kipa ameudaka mpira ukiwa umesha vuka chaki na kwenye soka Sheria Ina angalia mpira na si mwili wa mchezaji.

Mpira aliopiga Saidoo ulishavuka chaki nakuwa Gool kick na line 1 Alisha onyesha ni Gool kick.

Refa wa kati analazimisha Kona kwa mpira ambao line amesema gool kick.
Ilo ndilo lililo wafanya wachezaji wa Singida ku mzonga refa na walikua sahihi.
Ata ingekua kipa kaudaka nje kaurudisha ndani Bado inabaki ni Gool kick.
Kinacho angaliwa ni mpira na chaki zake.
Refa wa jana ni mzembe kweli, kwani alikataa penalty mbili za halali ambazo simba walizistahili.
 
jana walioonewa na refa ni simba, simba wamenyimwa penati ya wazi kabisa kwa mapungufu ya refarii hata hvyo hawakulalamika wakaendelea na mchezo , singida walicheza mpira wa kiboya wa kupoteza muda, kujilaza kujiangisha... hata walipofika hatua ya penat wanashindwa wenyewe... jana hata refa alichoshwa na mpira wa kidada wa singida, hasa kujilaza laza hovyo.
 
Mbona kama watu ni wagumu kuelewa.Fact ni kwamba Simba sports club atacheza final hii haina kupingwa na kuhusu yaliyotokea kwenye mechi ya Singida jana ni makosa ya kibinadamu tuishi nayo tu na ieleweke simba yupo final sasa au anayetaka kurusha ngumi basi ajaribu tuone🤣🤣
 
Shida haikua muda wa nyongeza kwakua muda uo unatumiwa na timu zote mbili.
Shida ilikua namna Refa alivyo toa Kona, wakati mpira umepigwa na Saidoo na kipa ameudaka mpira ukiwa umesha vuka chaki na kwenye soka Sheria Ina angalia mpira na si mwili wa mchezaji.

Mpira aliopiga Saidoo ulishavuka chaki nakuwa Gool kick na line 1 Alisha onyesha ni Gool kick.

Refa wa kati analazimisha Kona kwa mpira ambao line amesema gool kick.
Ilo ndilo lililo wafanya wachezaji wa Singida ku mzonga refa na walikua sahihi.
Ata ingekua kipa kaudaka nje kaurudisha ndani Bado inabaki ni Gool kick.
Kinacho angaliwa ni mpira na chaki zake.
alikuwa anaudaka wa nini huo mpira uliotoka nje ili hali walikuwa wanaongoza?? tumia akili acha kutumia matako yaliyowekwa mwiko katikati.
 
Back
Top Bottom