Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Mbona mnnaanngalia upande mmoja,Simba kanyimwa penati za wazi hili amlioni?.
msimu uliopita Yanga walipewa penati nje ya boksi CCM Kirumba mlikaa kimya hamkukosoa au ndio mkuki kwa nguruwe!!