Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili pia lina ukweli ndani yake
Hao siku hizi sio Makontena,ni mbeleko fc.Viporo vya VPL kwa Makontena FC vimeisha ,kila timu imecheza mechi 13 ,,,,,sijui wewe upo wapi huna hiyo taarifa?
ila kule ndada ukuona kama mbelekoNi kweli Azam kwa sasa inamapungufu makubwa mno hasa katikati,si hivyo tu, hii timu itawakilisha Nchi.wanatakiwa wajipange sana,kwa hali hii watatudhalilisha.Pia marefa wanaoibeba Yanga na kuihujumu simba nao wafungiwe maana wanaua soka letu.
bado hoja moja hapo ya azam kuongoza ligiViporo vya VPL kwa Makontena FC vimeisha ,kila timu imecheza mechi 13 ,,,,,sijui wewe upo wapi huna hiyo taarifa?