Refa aliyeibeba Azam kwenye mechi yao na Mtibwa asimamishwa

Refa aliyeibeba Azam kwenye mechi yao na Mtibwa asimamishwa

Mkuu watu wanapokuwa wanaongelea soka si lazima uifananishe yanga na simba ni bora uitaje mtibwa na simba ndio wanafanana yanga anaruka na azam ww ni wawapi bhanaa acha mambo ya zilipendwa mkuu
 
Mkuu kiporo hicho ni cha nini maana kwenye ligi wote wamecheza mechi sawa kwa idadi au hufuatilii???
 
Sipati picha ikitokea siku yanga ndo kapata ngekewa ya refa itakuwaaje maana mikia imebaki kuwa na majungu tu
 
Ni kweli Azam kwa sasa inamapungufu makubwa mno hasa katikati,si hivyo tu, hii timu itawakilisha Nchi.wanatakiwa wajipange sana,kwa hali hii watatudhalilisha.Pia marefa wanaoibeba Yanga na kuihujumu simba nao wafungiwe maana wanaua soka letu.
ila kule ndada ukuona kama mbeleko
 
Back
Top Bottom